Trump Ataja Korolokwini kama ni Dawa Inaweza Kutibu au Kufubaza Virusi vya Corona

Ni maoni yake na siyo utafiti bro

Kabisa mkuu.

Wakorea, Wachina na (na sasa Wafaransa), walishafanya clinical trials wakaridhika na uwezo wa chloroquine.

Marekani kaja dandia tuu-hawakuwemo!

Wamarekani siyo wajuaji wa kila jambo...In fact watu kutoka asia ndo wanaongoza kwa IQ kubwa duniani na marekani ni kama soko la dunia-kila kabila limo!🤣
 
Hii dawa ilitumika hata China,Ulaya pia inatumika. USA wamefanya kufuata mkondo wa dawa zilizotumika huko china. Ila hii dawa kuna watu huwa inawawasha. Mimi sikuwahi Kabisa kuwashwa na hii dawa sema ilikuwa chungu. Sindano yake ilikuwa inanifanya nisione vizuri kwa masaa kadhaa.

Kisayansi na kitabibu bado haijathibitishwa kuwa ndo tiba ya Corona virus.

Naona watu hawaelewi hata kinachoendelea hapa.
 
Unajua Dr. Fauci ni nani?
Bro hoja siyo nani hoja kasema nini lakini kuna ukweli tunaupita ya kwamba Marekani nafikiri nchi nyingi duniani,utafiti pekee hautoshi ni mpaka uidhinishwe na mamlaka.lakini pia kwa habari nilizosoma punde waingereza wanaishinikiza serikali iidhinishe chloroquine kwa majaribio.
 
Bro hoja siyo nani hoja kasema nini lakini kuna ukweli tunaupita ya kwamba Marekani nafikiri nchi nyingi duniani,utafiti pekee hautoshi ni mpaka uidhinishwe na mamlaka.lakini pia kwa habari nilizosoma punde waingereza wanaishinikiza serikali iidhinishe chloroquine kwa majaribio.

Umem-dismiss Dr. Fauci.

Dr. Fauci ni mtafiti anayeheshimika sana.

Kafanya tafiti nyingi sana kuhusu magonjwa mengi sana.

Maoni yake yana uzito wa kipekee.

Jaribu kum Google.
 
Umem-dismiss Dr. Fauci.

Dr. Fauci ni mtafiti anayeheshimika sana.

Kafanya tafiti nyingi sana kuhusu magonjwa mengi sana.

Maoni yake yana uzito wa kipekee.

Jaribu kum Google.
Ni sawa lakini hayawezi kushinda utafiti.btw Cuba inayo dawa lakini kwa siasa za Marekani hawezi kuizungumzia.
 
Duh

Umezaliwa mwaka gani?
Dah mkuu,niko mid thirties now.

Kipindi nachomwa hizo sindani niilikuwa STD 6,wakati nakua wazazi wangu walikuwa watu wasiopendelea sana tuchomwe sindano wakidai kuziendekeza zinaweza pelekea ulemavu.
 
Ni sawa lakini hayawezi kushinda utafiti.btw Cuba inayo dawa lakini kwa siasa za Marekani hawezi kuizungumzia.

Utafiti wa chloroquin kutibu corona virus haujathibitisha kuwa hiyo dawa ndo tiba.

Bali, utafiti huo umetoa matumaini kidogo, kuwa, hiyo dawa imeonekana kuleta nafuu kwa walio wagonjwa.

Tafiti zaidi zinahitajika ili kupata ithibati.

Maoni ya Dr. Fauci hayatofautiani na matokeo ya hizo tafiti zako.

Mpaka sasa corona virus haina tiba. Na kusema ukweli, magonjwa mengi yenye kusababishwa na virusi, hayana tiba.

Ila, kama watu mnaona chloroquine ndo tiba, waambieni Watanzania waache kuogopa. Wameze tu chloroquin na watapona na maisha yataenda kama ilivyo ada.
 
5dcf722af3d451140a10c7e7e98787b3

The dreaded COVID-19 has been defeated!

The virus that shook the whole world and brought mega cities to a standstill has been disgraced.

The American President, Donald Trump has announced the drug that can be used in the treatment of corona virus.

He mentioned this at a press briefing on Thursday 19th March 2020.

Chloroquine has been found to be effective in the treatment of the virus. It is basically a drug used for the treatment of malaria but is also used to treat arthritis when combined in a different way" he said

"The beautiful and interesting thing about the drug is that it's been around for a long time so we don't have to worry about its effects. If it was new drug we would have had a lot to do about testing and confirming wether it will work, its side effects and many more and that would have taken some good time" he added.

The entire globe is jubilating!

Keep it up America
 
Back
Top Bottom