Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,670
Wewe unapo niuliza mimi una akili kweli wewe, itakuwa umenitukana? Hapo unauliza swali sidhani kama unatukana ningesama hana akili hapo sawa.
Wewe naona unatafuta tu njia moja au nyingine yakunifundisha lugha, ukifatilia sana wewe mwenyewe hujui kutofautisha kati ya vile na vile.
Unapomuuliza mtu kama ana akili una maana gani kweli......? Really fazaa....really?? Sina mpango wa kumfundisha mtu lugha coz mimi sio mama lugha..........after all huenda nikawa sijui/najua kutofautisha kati ya vile na vile (kama ulivyosema), but the point is.. ACHA DHARAU even though humjui hakujui!!