MzeeKipusa
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 2,706
- 4,923
What does it mean?
"Mzigo mzito mpe mnyamwezi"
"Mzigo mzito mpe mnyamwezi"
Umebadili ulicho andika mkuuWhat does it mean?
"Mzigo mzito mpe mnyamwezi"
KazinguaUmebadili ulicho andika mkuu
DaahWalikuwa wanabeba mizigo mizito umbali mrefu kipindi Cha ukoloni kwa malipo ya kibaba Cha chumvi.
Ndio mkuuKazingua
Sio kweliWalikuwa wanabeba mizigo mizito umbali mrefu kipindi Cha ukoloni kwa malipo ya kibaba Cha chumvi.
Ukweli ni upiSio kweli
😳Unakazia niniNakazia
Kabadilisha mada haikuwa inasomeka hivyo😳Unakazia nini
Ukimpa mzigo wako mchaga anapotea nao.What does it mean?
"Mzigo mzito mpe mnyamwezi"
Unawatafuta ubaya wachaga, ngoja waje kukupopoaUkimpa mzigo wako mchaga anapotea nao.
Mkuu mada kama hizi ndio zina reply nyingi jf, yaani interest ya mtu inategemeana na uwezo wake wa kufikiriaModerator
Mambo gani haya mnatufanyia?. Hii mada Hain kichwa wala miguu mara dah hawa jamaa. Mara ushingenge.. bulshit
Nenda kakae maeneo husika utaujua ukweliUkweli ni upi
These guys are hard workers. Ni halali wawe matrillionareUkimpa mzigo wako mchaga anapotea nao.
Hilo la hardworking ni kweli, sema hawaaminiki kabisa, wengi wao siyo waaminifu, wapo tayari kufanya lolote wapate mali.These guys are hard workers. Ni halali wawe matrillionare