BAKITA mnabuni maneno ya Kiswahili ili kukuza lugha ya Kiswahili. Je, ETIMOLOGY ya maneno mnayoyabuni ni ipi?

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,410
74,047
What is the etymology of the Swahili words you are coining? The science of the origin of the words you are coining ni ipi?
Mfano, Akili Mnemba, Mnemba etymology yake ni ipi?

Mfano, in English, Tele means FAR, and PHONE means sound, therefore TELEPHONE means FAR SOUND ie one can hear a sound from as far as from USA while in Tanzania. IT MAKES A LOT OF SENSE!

sasa Mnemba mmelitoa wapi? (mfano mmoja tu among a multitude of coined words!)
 
Lugha ni kama pesa tu watu jdio wanaamua iwe na maana au laa.

Leo mfano neno knife kwa kizungu kwa koswahili ni kisu.

Hakuna mahusiano baina ya neno knife na kile kifaa cha kukatia vitu,ni watu walikubaliana kwamba hiki kitu tukipe jina hili baasi.

Hivyo tunaweza kubuni neno lolote ambalo halijulikani maana na tukakubaliana kwamba liwe na maana fulani.

Hivyo kuanza kuhoji maana ya neno nwala haimake sense kwa sababu watu ndio wanakubaliana neno lowe na maana au laa.
 
Nywila yaani password. Lakini huko Kenya kuna baadhi ya maneno ambayo yapo tofauti kabisa na haya ya huku kwetu. Kuna umuhimu wa kuwa na chombo kimoja cha Afrika Mashariki ili kuhakikisha kwamba maneno ya Kiswahili yanayotumika katika nchi zetu yanakuwa yanafanana. Kwa mfano, wakati Kenya huita Luninga, Tanzania tunaita Televisheni baada kulitohoa moja kwa moja toka Kiingereza. Kulikuwepo na Baraza la Kiswahili la Nchi za Afrika Mashariki hapo zamani, Ila kwa sasa sina uhakika kama bado lipo.
 
Back
Top Bottom