Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,821
- 59,422
Lianzishe bi shosti tutakupa support
Msaada unahitajika kufanikisha wazo mwaya. . . ntawaPM.
Lianzishe bi shosti tutakupa support
mmmmmmmmh! LD umeonaaaaaaaeeeeeh!Hii inahusu King'asti, manake mtu mwingine akaa na rasta miezi minne hata maji hazitii.
Mmmh ukikaa naye kwenye siti moja kwa daladala unatamani kushuka.
Akikaa mbele yako kwenye foleni bank unatamani kurudi nyuma......duh :juggle:
Nywele ni kila kitu kwa mwanamke ila zinapokuwa zimefanywa artificial saana inaboa!
Mi ugonjwa wangu mwanamke mwenye unywele mzuri wenye afya.....
ile kitu ilikuwa na harufu mbaya ,watoto wadogo walikuwa wakiinusa ile smell wanalia.Ila yule aliyakuja na kalikiti angefungwa. Kama kuna hatufu ilukuwa inaniudhi ni hiyo.
ile kitu ilikuwa na harufu mbaya ,watoto wadogo walikuwa wakiinusa ile smell wanalia.
Most of those shown in the above pictures are not natural hairs, either artificially or chemically elongated. The real hairs are too sexy and tempting to be left uncovered. See the Christian Nuns, modest Christian and Muslim ladies who follow their teachings, you'll never see their heads uncovered.
kwa waliobahatika kuwa na naturals za kishombe waache wawe natural. mimi wala hawajani convince wapendeze peke yao tu, artificial na dawa ndo mpango mzima. Tukitoka hakuna anayejua nani fake nani real. Thanks mdhungu alogundua vitu artificial.
Fake zinajulikana na natural zinajulikana 99%, hilo halina ubishi na sidhani kama Mwenyeezi mungu hufanya kosa katika uumbaji, ziwe za kishombe zisiwe za kishombe ukiwa msafi na unazitunza na huweki kichwa wazi, zitaleta tu mvuto wake wa asili kwa alie wa halali kuzifaidi.
Fake zinajulikana na natural zinajulikana 99%, hilo halina ubishi na sidhani kama Mwenyeezi mungu hufanya kosa katika uumbaji, ziwe za kishombe zisiwe za kishombe ukiwa msafi na unazitunza na huweki kichwa wazi, zitaleta tu mvuto wake wa asili kwa alie wa halali kuzifaidi.