Tribute to Women's Hair - Why we Love 'em! (Both)

Lizzy umenikumbusha siku moja nimesuka nywele kwanza ikabidi ninywe panadol na baada ya kushindwa zaidi ikabidi niloweke kichwa ndani ya maji,sina hamu na huu urembo..sirudii

Hehehehehe pole mama wa kwanza.Kuna watu hua wanavuta nywele utadhani mna ugomvi.
 
speaking of ugomvi.. kwanini wanawake wakipigana wanavutana nywele badala ya kutwangana mangumi?

Kwasababu hapo ndio maumivu yalipo.
Kwanza imagine kuvutwa nywele,alafu fikiria kuvutwa nywele ulizotoka kuvutwa siku si nyingi, alafu fikiria kuvutwa nywele ulizotoka kuvutwa muda sio mrefu mpaka ukahitaji kwenda kutengeneza tena.

Hata kama ni kuziseti tu tayari unakua ushatiwa hasara.Wakati ulipopigwa ngumi kama ni usoni unaweza ukafunika tu na make up.
 
speaking of ugomvi.. kwanini wanawake wakipigana wanavutana nywele badala ya kutwangana mangumi?

Hujui?

Nywele zina nguvu yake....muulize Samson alifanywa nini na Delilah
Delilah, why did you go and cut my hair?
I told you I loved you and you cut my hair,
And now I just watch and stare
As my kingdom falls down around me,
All because you cut my hair.

I was weak, I told you I loved you,
You said you needed proof,
So I went and told you the truth
Of my Achilles' heel,
And you took your scissors out
And turned my life into ruins.

Delilah, why did you lie to me?
I thought, for a moment,
That I might be in love,
Then you went and cut my hair
And all I can do is cry and weep
As my friends fight around me.
Delilah, why did you cut my hair?
Couldn't you break my heart instead?


 
Hujui?

Nywele zina nguvu yake....muulize Samson alifanywa nini na Delilah
Delilah, why did you go and cut my hair?
I told you I loved you and you cut my hair,
And now I just watch and stare
As my kingdom falls down around me,
All because you cut my hair.

I was weak, I told you I loved you,
You said you needed proof,
So I went and told you the truth
Of my Achilles' heel,
And you took your scissors out
And turned my life into ruins.

Delilah, why did you lie to me?
I thought, for a moment,
That I might be in love,
Then you went and cut my hair
And all I can do is cry and weep
As my friends fight around me.
Delilah, why did you cut my hair?
Couldn't you break my heart instead?

Ndio kusema ndio asili ya nguvu eh!? Poor Samson!
 
Kwa kweli.. nywele za mwanamke zikitunzwa vizuri zinamtofautisha mwanamke na mwanamke..
Speaking of nywele....kwa mwanamke nywele pia zina play part kubwa sana katika mahusiano ya kimapenzi kati ya mwanamke na mwanamme......unapozungumzia umuhimu wa nywele kwa mdada pale unaposhuka chini kwa kiumbe huyu (mwanamke)......ukitoka kichwani next....downstream ya mwili wake...the opposite is the truth kuhusu uwepo wa nywele.....kwani pale nywele zinapoonekana kutotakiwa kabisa katika mwili wake ndipo ambapo panachukua umuhimu mkubwa wa kipekee katika maisha ya kimapenzi kwa mwanamke (tofauti na kichwani).Ukianza na kwapa........tofauti kabisa na zamani.......nywele siku hizi huondolewa kabisa kwapani kwa wadada (na hata baadhi ya wanaume)...........next...miguuni........nako siku hizi nywele zake umezuka mtindo wa kuzinyofoa kabisa nywele za miguuni..........next......au mwisho..(tofauti na zamani).....ni kwenye kinena (pudendum).......hapa ndio usiseme........siku hizi nadra saaana umkute mdada eti ameacha minywele kwenye kinena..........never......hiyo ni aibu au uchafu wanasema.....mwendo umekuwa ni kipara kwa kwenda mbele..yaani the less nywele the better.......wengine huweka hata dawa zisiote kabisa yaani....mwanamke ni kiumbe wa pekee jamani.....haswa kwenye maswala ya mapenzi....nawapa big up saaana kwani they make our days.......labda tu niwape.....kipara kinenani ni part kubwa saana ya mvuto wa mwanamke kwa mwanamme......sometimes i wonder..........mbona hizi treands zimekuja kipindi hiki????wazazi wetu......walipendana saana na hawakuwa na haya maswala na still ndoa zao zilidumu sana....contrary to the present...era
 
Back
Top Bottom