Tremor

isele

Member
Feb 15, 2012
18
2
Ndugu zanguni ninatatizo la tremor. na hii ipo sana mikononii na miguuni, nimepewa neurobin naendelea nazo kila siku sina matokeo.
nisaidieni nishaurini
 
Ndugu zanguni ninatatizo la tremor. na hii ipo sana mikononii na miguuni, nimepewa neurobin naendelea nazo kila siku sina matokeo.
nisaidieni nishaurini
Tremor Causes

Tremor can be a symptom associated with disorders in those parts of the brain that control muscles throughout the body or in particular areas, such as the hands. Neurological disorders or conditions that can produce tremor

including
multiple sclerosis, stroke, traumatic brain injury, chronic kidney disease and a number of neurodegenerative diseases that damage or destroy parts of the brainstem or the cerebellum,Parkinson's disease being the one most often associated with tremor. Other causes include the use of drugs (such as amphetamines,

cocaine, caffeine, corticosteroids, SSRI), alcohol, mercury poisoning; or the withdrawal of drugs such as alcohol or benzodiazepine. Tremors can also be seen in infants with phenylketonuria (PKU), overactive thyroid or liver failure.

Tremors can be an indication of hypoglycemia, along with palpitations, sweating and anxiety. Tremor can also be caused from lack of
sleep, lack of vitamins, or increased stress.[SUP][citation needed][/SUP] Deficiencies of magnesium and thiamine have also been known to cause tremor or shaking, which resolves when the deficiency is corrected. See magnesium in biology. Some forms of tremor are inherited and run in families, while others have no known cause.

Tremors can also be caused by some spider bites, e.g. the
redback spider of Australia.
Characteristics may include a rhythmic shaking in the hands, arms, head, legs, or trunk; shaky voice; difficulty writing or drawing; or problems holding and controlling utensils, such as a fork. Some tremors may be triggered by

or become exaggerated during times of stress or strong emotion, when the individual is physically exhausted, or during certain postures or movements.


Tremor may occur at any age but is most common in middle-age and older persons, typically around the age of 52–61. It may be occasional, temporary, or occur intermittently. Tremor affects men and women equally.

Pole kwa hayo Matatizo yako ya kutetemeka Mikononi na miguuni hiyo ni Dalili mbaya huenda ukapatwa na

ugonjwa wa Kiharusi au unao ugonjwa wa
Parkinson's disease ndio huo ugonjwa wake na unatokea kwenye kichwa

yaani mishipa ya fahamu haifanyi kazi vizuri. Tumia Dawa za Hospitali ikishindikana hujapona nitafute mimi ila kwa

gharama nitaweza kukutibia. Nina kushauri kama unatumia Ulevi acha kama unatumia Sigara acha una miaka mingapi? Nenda Hospitali kapime Figo lako na ini lako linafanya kazi sawasawa?

wewe ni mwanamme au Mwanamke? Ukinihitaji kwa Tiba bonyeza hapa.Mawasiliano
 
Mimi ni mwanamke,umri wangu hajafika miaka 40 asante sana wacha niendelee na dawa za hospital, isipowezekana nitakutafuta.
Mungu akubariki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom