Mbinu za kupambana na uraibu wa energy drink

Deleted01

JF-Expert Member
Sep 28, 2018
1,411
3,457
Asalaam Aleikum,

Ukweli ni kwamba wengi wetu siku hizi tulitokea kuvipenda sana vinywaji hivi vya energy drinks. Viko vingi na kila mtu ana brand yake anayeipenda, mimi binafsi Azam Energy ilinichanganya sana, But before I used to love Red Bull nadhani hata hizi local brand hazikuwepo pia.

Sasa from 2020 nilipata addiction ya hizo products, kiasi cha kwamba kwa siku bila kunywa kopo 2 nilikuwa nina underperform kila kitu yaani, in short, siku yangu ilikuwa inakuwa hovyo bila kutumia kinywaji hicho.

Ilienda mbali zaidi, nikawa nisipokunywa napata hizi fasciculations na tremors kabisa. I shared na one of my colleague akaniambia hizi huwa ni withdrawal sypmtoms, a thing ambayo i couldn't argue more.

2021 I decided niache, nikapunguza and badae nikaweza ku abstain kabisa ila sijui ikawaje nikajikuta nimerudi tena na nimekuwa addicted vibaya. Well, nimepambana na hii addiction mpaka saivi, Alhamdulilah nina miezi 6 energy drinks free kabisa and below ni baadhi ya mbinu nilizotumia.

1. Nilitumia 21 days rule, nikaweza kukaa siku 21 straight bila kunywa hizo products. Wanasema hii rule ni nzuri sana kwenye kubadili mazoea na tabia ambayo unajaribu kuiacha.

2. Nilitafuta alternative ya kinywaji kingine ambacho kitani-free from the shackles of Energy drinks, hapa nikaanza kuyapenda maji ya Hill water. Haya saivi nayapenda balaa, naweza kuyatambua hata nikinywa huku nimefunga macho.

3. Nilianza savings ya zile hela ambazo I used to spend on energy drinks. Hapa sasa ndo patamu, I went to carpenter nikatengeneza kibubu, basi zile buku buku nikawa nadumbukiza huko. Mind you, mtu mwenye addiction ana budget mahalumu kabisa ya ku spend kwenye kitu ambacho he/she is addicted with.

Well, hizo ndo mbinu nilizotumia. Karibuni mlete namna mlivyoweza kupambana na addiction ya energy drinks.
 
Huitaji mbinu yoyote kuacha kunywa energy, unapaswa tu kujuwa energy zina caffeine ni mbaya inalipuwa moyo na inauwa.

Ukishalijuwa hilo wala huitaji mbinu kuachana na hayo maenergy.
 
Back
Top Bottom