zomba
JF-Expert Member
- Nov 27, 2007
- 17,240
- 3,910
Ndugu yangu soma btn the lines, wewe unazungumzia press briefings unazopata, watu wanachambua inside stuff.
so let me ask u a question::::
mkataba unasema kila kitu kitanunuliwa/leased only from Rites India @ a very high price????????
Rites India wametoa kiasi gani kwenye shareholding structure??
Govt of Tanzania wanaguarantee loans zote, uko hapo???
Unaweza while U are @ it, kunieleza tofauti ya hii issue ya Rites na wale wenzetu wa SAA kuimaliza ATC?? Si tuliambia kila kitu kitakuwa powa????
Nisaidie mkuu nibadili mawazo.
Hakuna habari ya ndani hata moja kwenye hii thread tazama reference zote hapo juu, utaona zinasemaje.
Kuhusu mkataba, kama unataka kuujuwa vizuri naomba wasiliana na katibu wa Bunge la Tanzania kwani Mzee Six alipokuwa akifunga Bunge alitangaza kuwa wameshaweka library ya Mikataba ya Serikali pale Bungeni Dodoma. Unaweza ukasaidiwa kuusoma ukauelewa ulivyo au unaweza kuwasiliana na mbunge wako akupatie. halafu ukishaupata uweke hapa tuuone, au kama unao tuwekee hapa tuuone, mimi na "read between the lines". Wewe unao read line by line tuonyeshe hizo line unazozisoma ziko wapi?