Transfer to medical related programmes

REUBBY

Member
Aug 23, 2014
41
1
mwenye tetes juu ya hil atujuze" kwa wale tuliomba Transfer majb tnapewa lini? wengne tlipochaguliwa mwanzo tayar registration imeshaanza" na tnaogopa kwenda ktoa direct cost wakat hatujajua hatima ya maombi yetu"" msaada kwa mwnye tetes kuwa watatoa lin majbu
 
Kaka mwenyewe nilifanya hio kitu deadline ni leo so may be kesho tuanze kucheck ....we uliomba nn mm nilomba udom nursing
 
nliomba KCMC nursing "": iv mtu utaangalia wap kama umechaguliwa?
 
hivi procedure za kuomba transfer umezitoa wapi mkuu?au ndo tuseme ulizisoma ukazielewa nusu?kukutoa hofu tcu walichopost kwny web yao ndo watakavyofanya mkuu...
 
sasa mkuu c ungefnguka tu kuwa watafnya iv "hapo ningekuelewa zaid"
 
Njia itayotumika kukufahamisha kama umefanikiwa kuhama chuo itakua ni nja ya sms. Jambo la msingi ni kwamba, watakaopata sms hizo, watupie humu jf ili ambao hawatapata sms, waelewe kua mambo tayari ila wao hawajafanikiwa!
 
Kwa transfer ya medical related programs imefungwa toka jana wa weza tembelea website yao kuthibitisha hilo lakini majina walisema watatoa kwa website yao....ila kwa kozi zingne ndo.walisema kwa simu deadline tareh 10
 
Msaada....Me nimeomba transfer mbili kupitia vyuo tofauti..yaani nimeomba kupewa transfer UDOM na pia SUA..Nilihofia slot kuwa zaweza kujaa nikakosa sasa naomba kujua kama nimefanya makosa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom