Hute
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,537
- 6,458
WAHESHIMIWA, nahitaji kutransfer pesa online (kwa kutumia online banking) from a tanzanian bank to an american bank...sio kwamba nazificha labda mimi ni fisadi hapana, nimeshaishi kule kwa muda, nikawa na account kule sasa nimeona niweke pesa zangu kule kule ambako at least dola ikipanda na kushuka nitajua namna ya kucheza nazo hapa tz ambako dola ikipanda nikiwithdraw kwa mastercard italipa zaidi...all in all ni kutunza pesa zangu kule iwe rahisi hata kufanya biashara kimataifa....
Naomba MTU ANAYEJUA BANK YEYOTE YA KITZ ambayo inatoa online banking kama zile za ulaya, ambayo hata nikiwa hapahapa nyumbani kwangu kimara nitafungua net na kutupa pesa hamna haja ya kwenda kupanga foleni kule bank.....tafadhali naomba mwenye kujua hilo anielekeze ni bank gani na inafanyika vipi?....ASANTENI SANA..