Bado mkuu wamesema watatuma email ya siku ya kuanza training coz walikuwa hawajajua venue
Hamna hao waliolizwa hivyo then wakapigwa chini mayb wamekosea kujibu maswali mbona me wameniuliza na kwenye training wamenialika lol
i meant waliojibu ndio mami
Hata mimi aliniuliza kama nimeolewa nkamwambia hapana ila nina mchumba ambaye tunakaribia kufunga kufunga Ndoa akaniambia sawa and yet wamenialika for training na email wamenitumia hapa nasubiria waseme venue ya training
me kuhusu mshahara walisema tutalikwa kulingana na ufanyaji kazi, sasa hiyo c nikama zile promotion,, unalipwa according to how you sell
me ntaenda first day kuangalia kama vp siku znazofata hawanioni ng'oooooooo
huo ndo mpango lakini sales ya tourism si mchezo either tupate hela ya mana ile kwetu mazima
I think its beta ukienda ww as I wait 4 da feedback