training signature holidays

kuku87

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
1,220
293
jamani mliopita interview ya signature holidays mmeshataarifiwa juu ya kuanza kwa training?
 
Bado mkuu wamesema watatuma email ya siku ya kuanza training coz walikuwa hawajajua venue
 
kwani mmejuaje mmepita interview walitoa majibu tayar?
 
kwani mmejuaje mmepita interview walitoa majibu tayar?

Ndugu kaa hukuambiwa mule ndani kama umepita kwa ajili ya training angalia email yako sahv nako ukikuta 0 jishuku
 
Bado mkuu wamesema watatuma email ya siku ya kuanza training coz walikuwa hawajajua venue

nimesikia girls mlikua mnaulizwa kama mna boyfriends or wachumba,waliojibu ndio wamepigwa chini,kweli?
 
Hamna hao waliolizwa hivyo then wakapigwa chini mayb wamekosea kujibu maswali mbona me wameniuliza na kwenye training wamenialika lol
 
Hata mimi aliniuliza kama nimeolewa nkamwambia hapana ila nina mchumba ambaye tunakaribia kufunga kufunga Ndoa akaniambia sawa and yet wamenialika for training na email wamenitumia hapa nasubiria waseme venue ya training
i meant waliojibu ndio mami
 
Hata mimi aliniuliza kama nimeolewa nkamwambia hapana ila nina mchumba ambaye tunakaribia kufunga kufunga Ndoa akaniambia sawa and yet wamenialika for training na email wamenitumia hapa nasubiria waseme venue ya training

watajiju wenyewe mbona wanaume hawajatuuliza kama tumeoa au wameangalia na muonekano wa mtu, na mbona kuhusu malipo hawajauliza wajameni
 
hata mie nimealikwa kwa training bt yaan kazi yenyewe hata siielewi maana mh kama promotion vile
 
hata mie nimealikwa kwa training bt yaan kazi yenyewe hata siielewi maana mh kama promotion vile

hahahaha training ndo utasema kila kitu nikiona chenga namwagika siku ya kwanza tu kabla hatujapotezeana mda
 
me kuhusu mshahara walisema tutalikwa kulingana na ufanyaji kazi, sasa hiyo c nikama zile promotion,, unalipwa according to how you sell
 
me kuhusu mshahara walisema tutalikwa kulingana na ufanyaji kazi, sasa hiyo c nikama zile promotion,, unalipwa according to how you sell

Haaaaa mbona kwny job description hawajasema na wamesema ajira ni full tym, yan hapi umeshanikata maini sidhan kama nitapoteza nauli yangu kwenda huko seacliff tn washanikera tayar
 
Back
Top Bottom