Ndio maana wakenya wanatudharauHuko KCB ndiko ina majority stake?!
Inawezekana uko sawa lakini je hiyo bank ya wazalendo huduma zake zikoje ukilinganisha? Je bei na gharama kwa wateja?
kibiashara hakuna bank yeyote inatakiwa kuwa na uhakika wa soko uwekaji wa pesa ni kitu binafsi huwezi kulazimisha kama bank imebakia kutegemea serikali lakini huduma mbaya au tozo ni nyingi haina uhusiano na share za serikali inabidi kuwe na ushindani
Sikia ndugu, serikali ina hisa 100% kwenye benki ya serikali iliyoitwa TPB bank (Tanzania Postal Bank) au Bank ya Posta ambapo kwa sasa inajulikana kama TCB (Tanzania Commercial Bank), sasa swali la kizushi ni kwamba kwanini huduma nyingi za kiserikali hazipitii bank hii ya serikali mfano mishahara ya watumishi wa umma na malipo mengine kadha wa kadha?
Serikali ina minority stake kwenye NMB,The largest shareholders ni waholanzi
Tra Wana account kwenye bank zote kilichotokea hapo ni wakati control number ina tegenezwa aliokuwa anajaza alijaza bank ya KCB hayo malipo yapitieTRA na BOT watajitetea kwa sababu zozote zile lakini sisi tunaolipa kodi ktk nchi hii, kwa kujua nani anamiliki KCB (Kenya Commercial Bank) hii ni chini ya kiwango cha uzalendo uliohubiliwa miaka mitano iliyopita. Nalinganisha malipo niliyofanya 2020 na mwaka huu, yakielekezwa benki tofauti kabisa!!
Tunafahamu ni Benki iliyosajiliwa hapa nchini lakini pesa ya kodi za serikali kupitia benki ya muwekezaji wa nje badala ya NMB ambako serikali ina hisa, ni ufisadi. TRA wanafidika nini kuitumia KCB? Imetokea nini baada ya kifo cha Magufuli? Je, KRA ya Kenya, kwa ubaguzi wao kibiashara, inaweza kupitishia pesa za kodi za serikali yao benki ya TZ, hata kama imesajiliwa nchini Kenya?
View attachment 1926663
View attachment 1926664
Wabongo kwa ujuaji...rabobank walishahamishi share kwa msouth africa Arise....still ni ujinga kutumia kcb kupitisha mapato...Serikali ina minority stake kwenye NMB,The largest shareholders ni waholanzi
"NMB Bank’s largest shareholder, Rabobank of the Netherlands, has partnered with the Dutch Development Bank (FMO) and the Norwegian State owned development fund (Norfund) to form a Sub-Saharan Africa-focused investment company, Arise. The partnership was officially launched in Cape Town, South Africa in February 2017"Wabongo kwa ujuaji...rabobank walishahamishi share kwa msouth africa Arise....still ni ujinga kutumia kcb kupitisha mapato...
Rabobank partnered with the Dutch Development Bank (FMO) and the Norwegian State-owned development fund (Norfund) to form the sub-Saharan Africa-focused investment company, Arise.Wabongo kwa ujuaji...rabobank walishahamishi share kwa msouth africa Arise....still ni ujinga kutumia kcb kupitisha mapato...
TRA na BOT watajitetea kwa sababu zozote zile lakini sisi tunaolipa kodi ktk nchi hii, kwa kujua nani anamiliki KCB (Kenya Commercial Bank) hii ni chini ya kiwango cha uzalendo uliohubiliwa miaka mitano iliyopita. Nalinganisha malipo niliyofanya 2020 na mwaka huu, yakielekezwa benki tofauti kabisa!!
Tunafahamu ni Benki iliyosajiliwa hapa nchini lakini pesa ya kodi za serikali kupitia benki ya muwekezaji wa nje badala ya NMB ambako serikali ina hisa, ni ufisadi. TRA wanafidika nini kuitumia KCB? Imetokea nini baada ya kifo cha Magufuli? Je, KRA ya Kenya, kwa ubaguzi wao kibiashara, inaweza kupitishia pesa za kodi za serikali yao benki ya TZ, hata kama imesajiliwa nchini Kenya?
View attachment 1926663
View attachment 1926664
Hii inaitwa kujipiga risasi mguuni.Inawezekana uko sawa lakini je hiyo bank ya wazalendo huduma zake zikoje ukilinganisha? Je bei na gharama kwa wateja?
kibiashara hakuna bank yeyote inatakiwa kuwa na uhakika wa soko uwekaji wa pesa ni kitu binafsi huwezi kulazimisha kama bank imebakia kutegemea serikali lakini huduma mbaya au tozo ni nyingi haina uhusiano na share za serikali inabidi kuwe na ushindani
Sio kwamba wewe ndo hujaelewa vizuri, hapo kwenye viambatanisho vyote viwili bank ya tra ni moja; bot.TRA na BOT watajitetea kwa sababu zozote zile lakini sisi tunaolipa kodi ktk nchi hii, kwa kujua nani anamiliki KCB (Kenya Commercial Bank) hii ni chini ya kiwango cha uzalendo uliohubiliwa miaka mitano iliyopita. Nalinganisha malipo niliyofanya 2020 na mwaka huu, yakielekezwa benki tofauti kabisa!!
Tunafahamu ni Benki iliyosajiliwa hapa nchini lakini pesa ya kodi za serikali kupitia benki ya muwekezaji wa nje badala ya NMB ambako serikali ina hisa, ni ufisadi. TRA wanafidika nini kuitumia KCB? Imetokea nini baada ya kifo cha Magufuli? Je, KRA ya Kenya, kwa ubaguzi wao kibiashara, inaweza kupitishia pesa za kodi za serikali yao benki ya TZ, hata kama imesajiliwa nchini Kenya?
View attachment 1926663
View attachment 1926664
Hivi TPB inaaweza kutumika kenya? Huu ujinga ni tanzania tu tuendelee kujifariji na kujifanya tunajua sana!Sio kwamba wewe ndo hujaelewa vizuri, hapo kwenye viambatanisho vyote viwili bank ya tra ni moja; bot.
Hizo kcb na nmb ni bank za mlipaji tu.
Hili lisikubalike na yeyote. Ni ufisadi mtupu. Tra kuacha kutumia benki ya nchini na kuwapa bank ya kenya. Watanzania wamechoshwa na namna wakenya wanatimia nyia za kifisadi kuihujumu tanzania. Ni aibu TRA kuacha kutumia benki ya ta ambapo wana hisa na kutumia benki ya kenya kcbTRA na BOT watajitetea kwa sababu zozote zile lakini sisi tunaolipa kodi ktk nchi hii, kwa kujua nani anamiliki KCB (Kenya Commercial Bank) hii ni chini ya kiwango cha uzalendo uliohubiliwa miaka mitano iliyopita. Nalinganisha malipo niliyofanya 2020 na mwaka huu, yakielekezwa benki tofauti kabisa!!