TRA kuna tatizo gani mashine za kutolea leseni hazifanyi kazi wiki ya pili sasa?

goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
8,855
12,991
Jamani jamani Yale mambo ya network yamerudi tena kwa kasi ya ajabu, nilienda ku-renew leseni yangu na na ku-update baadhi ya madaraja na kulipa gharama zote zinazohitajika lkn ajabu mpaka leo hi sijapata leseni yangu naambiwa tu kuwa mtandao sijui mara network haipo mambo gani haya sasa ?

Tukisema mwendazake Dkt. Magufuli alikuwa mtemi na jeuri na kufanya watu kuchapa kazi mnalalamika kuwa alikuwa Rais mbovu ona sasa mambo yale ya kale yamerudi kwa kasi sana. Nakumbuka kipindi natafuta leseni niliweza kuchukuwa siku moja nikaletewa leseni yangu

TRA nahitaji leseni yangu nataka nikatoe magari mapya bandarini ASAP
 
Wale jamaa wanafanya vile makusudi kujiandalia mazingira ya rushwa na wizi....Yaani ujinga wa hii nchi umerudi kama zamani enzi za JK.
 
Back
Top Bottom