Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,363
- 58,386
labda kwa sisi azam fc ndio inawezekana..Duh wameonyesha njıa na sısı tufuate.
timu zetu zinaendekeza majungu tu badala ya kutengeneza mapesa
Duh wameonyesha njıa na sısı tufuate.
offcourse kijana ..timu kama simba au yanga zinashindwa mimi kuwa na miradi na kuzalisha mapesa? uongozi mzuri tu ndio unatakiwa na sio lazima timu inunuliwe na billioneaumeona enhee mkuu Ivuga
Unaposema sisi unataka kumaanisha nini?Duh wameonyesha njıa na sısı tufuate.
duh!! hii komenti imeniogopesha kweli ..na Mungu aepusha haya maneno yako mbali kabsaaaa na nina uhakika hili jambo hlitokuja kutokea hata siku moja ..mle TP mazembe kuna vichwa vyetu bro...au hujui ...OMG!!!!!!!!!!!Hilo ni jeneza la TP Mazembe. Angalia hiyo tail ni yale madege mabovu Antonov na Tupolev ya Soviet yanayoanguka kila siku DRC.
duh!! hii komenti imeniogopesha kweli ..na Mungu aepusha haya maneno yako mbali kabsaaaa na nina uhakika hili jambo hlitokuja kutokea hata siku moja ..mle TP mazembe kuna vichwa vyetu bro...au hujui ...OMG!!!!!!!!!!!