MAGEUZI KWELI
JF-Expert Member
- Jul 16, 2011
- 1,947
- 253
Timu ya mpira wa miguu ya Nchi ya kidemocrasia ya Congo (DRC) imesubutu kumili ndege ya pili ili waweze kuweka mambo yao sawa....
Timu hii ina nini kikubwa kuliko Serikali ya CCM iliyoua shirika letu la ndege??? Je mpaka sasa serikali haioni aibu kuzidiwa kete na timu ya mpira wa miguu??
Mimi hapa ndipo ninaposema Serikali ya CCM ichape mwendo..hawana jipya kwa watanzania...wanaopinga hili kusema kweli Wana JF mtasema
wenyewe hisia zao...
Ninawasilisha....