Tozo zamuweka Mwigulu Nchemba pabaya, amechafuka kama vile ni mporaji wa pesa za walalahoi

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,276
6,641
20220909_081714.jpg
 
Mwigulu anatakiwa kuja na maelezo ya kutosha, kila mwezi wanakusanya tozo kiasi gani, na zinakwenda wapi, kufanya nini, nashangaa mpaka leo bado yupo ofisini, Samia anatukosea sana watanzania.

Haya mambo sensitive anayaendesha kimazoea sana, yanaharibu taswira yake binafsi hasa ikizingatiwa timu ya mpira wa miguu anayohusishwa nayo, na yale mabasi yaliyoingizwa nchini, na asijidanganye kwa yale majibu yake ya kitoto aliyowahi kuyatoa.
 
Mwigulu anatakiwa kuja na maelezo ya kutosha, kila mwezi wanakusanya tozo kiasi gani na zinakwenda wapi kufanya nini.

Haya mambo sensitive anayaendesha kimazoea sana, yanaharibu taswira yake binafsi hasa ikizingatiwa timu ya mpira wa miguu anayohusishwa nayo, na yale mabasi yaliyoingizwa nchini, na asijidanganye kwa yale majibu yake ya kitoto aliyowahi kuyatoa.
Kweli mkuu inabidi afanye hivyo kwenye press release
 
Yeye si ni daktari wa uchumi asiyepaswa kutiliwa shaka, sasa imekuwaje tena....
 
Back
Top Bottom