Hebrew
JF-Expert Member
- Jul 3, 2008
- 559
- 167
Rav4 Manual Estate, 2.0L, petrol ya 2002 inauzwa. Imetoka UK na imelipiwa ushuru, imeandikishwa na road licence. Imefika hapa nchini mwaka huu na hajitumika nchini. Ni rangi ya dhahabu na kila kitu kinafanya kazi kama inavyotakiwa. Ipo kwenye hali nzuri sana. Imetembea juu kidogo ya maili 100,000. Kwa maelezo zaidi piga 0715 686805. Bei inaanzia 21M, maongezi yapo. Mimi si dalali