Toyota mark ii gx 100 inauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281
Toyota Mark II Grande
2000 year of manufacture
The is in very good condition used by a lady
Price 9.5mil
0717114409/0755312233
 
Attachments

  • PIC01604.JPG
    PIC01604.JPG
    46 KB · Views: 238
  • PIC01605.JPG
    PIC01605.JPG
    39.6 KB · Views: 246
  • PIC01606.JPG
    PIC01606.JPG
    28.6 KB · Views: 232
  • PIC01607.JPG
    PIC01607.JPG
    35.8 KB · Views: 217
Mh!!!,bei iko juu sana,tena inatoka mkononi mwa mtu wa bongoland,bei hiyo ilikuwa wakati zinaingia ingia,lakini wa sasa zimeshuka sana kwa kasi ya ajabu,ukienda show room mpaka 8.5M unapata!!!
 
Mh!!!,bei iko juu sana,tena inatoka mkononi mwa mtu wa bongoland,bei hiyo ilikuwa wakati zinaingia ingia,lakini wa sasa zimeshuka sana kwa kasi ya ajabu,ukienda show room mpaka 8.5M unapata!!!

Sawa sawa Sugar wa Ukweli umeongea kitu mimi juzi juzi nimenunua 8.2M Show room tena imetulia kama hiyo cha mtoto labda aseme ashuke kama 6M nimtafutie mteja. Na sababu ya Kuuza ninini? maana wa Bongo Ah! Ah! Ah! Ah! Ah! Ah! Ah! tee!! watakubambikia mzigo kisha wanajisifu ok. Ashushe bei.
 
dalali kitomai kesharudi tena!?lol
mkuu tatizo unaweka "cha juu" hela ndefu mno
 
HTML:
used by a lady

hii kauli huwa inanibore sana,niliwahi kuuziwa mark 11 moja kwa maneno haya haya
lakini badae liliniendesha mpaka nikaliacha barabarani,na toka hapo sikutaka kuliona tena mpaka siku ya kuliuza.
 
Mh!!!,bei iko juu sana,tena inatoka mkononi mwa mtu wa bongoland,bei hiyo ilikuwa wakati zinaingia ingia,lakini wa sasa zimeshuka sana kwa kasi ya ajabu,ukienda show room mpaka 8.5M unapata!!!
Wabongo wanaendekeza njaa kali ndo maana asilimia kubwa ni madalali na wanadouble the price mpaka unachoka.
 
Back
Top Bottom