Ukaridayo
JF-Expert Member
- Oct 8, 2012
- 507
- 469
Wakuu,
hii gari nimeielewa sana kuanzia muundo wake wa nje, ndani naperformance yake...
nimeona ya 2WD(inayovuta mbele) inakwenda 100KM kwa 4.7L na ile ya AWD(mbele na nyuma) inatembea 100KM kwa 5.5L
ktk toleo la hizi gari zipo za aina mbili zile za diesel ambazo ni Manual, na zile za petrol ambazo Auto.
Zile za petrol nimeziona zikiwa zimefungwa engine za 1NZ zenye VVTi kitu ambacho kwangu mimi naziona zimequalify ktk situation ya uchumi wetu wa sasa hasa kwa sisi wenye vipato vya kawaida.
Tofauti ya gari hii na Toyota T.i (saloon) kwangu mimi ni kwenye boot gari zenye boot nje kwakweli zimekuwa zikinipa wkt mgumu sana mana wakati huohuo nilkuwa natafuta mbadala wake ktk gari zenye boot ndani (Hatchback) inayokaribiana kiviwango.
Toleo hili lipo tofauti sana na lile la mwanzo, wanasema............
It slots below the Toyota RAV4 to compete against small crossover SUVs like the Nissan Qashqai and Kia Soul, while also attracting buyers of mainstream family hatchbacks.
Hebu tuitazame ktk picha.