Toyota gx 100 for sale

funny

Senior Member
Jun 30, 2012
102
23
Make : Toyota
model : Cresta
color: Pearl
year of manufacture ; 1999
engine : 1g6619635
cc : 1980
fuel : Petrol

km 56,000

going very cheap! Only 8.55 millions

just pm or call 0658 554 992 serious buyer only. Please
 

Attachments

  • 20140612_182819.jpg
    20140612_182819.jpg
    516.7 KB · Views: 745
  • 20140612_182900.jpg
    20140612_182900.jpg
    539.9 KB · Views: 652
  • 20140808_182645.jpg
    20140808_182645.jpg
    773 KB · Views: 580
  • 20140808_182704.jpg
    20140808_182704.jpg
    739.1 KB · Views: 559
  • 20140808_182715.jpg
    20140808_182715.jpg
    692.5 KB · Views: 494
Duh,hembu pitia uzi uone wenzio wanaziuza hadi 4m.
Bei hiyo hupati mtu bei ya hizi gari sasahivi ni ubwete na hazina demand kabisaaaa.Halafu unasema Going very cheap,very Cheap at 8.5 gx 100?
Watu wamekimbilia kwenye Ti
 
Make : Toyota
model : Cresta
color: Pearl
year of manufacture ; 1999
engine : 1g6619635
cc : 1980
fuel : Petrol

km 56,000

going very cheap! Only 8.55 millions

just pm or call 0658 554 992 serious buyer only. Please
mkuu umefanya research kwanza kabla ya kuweka hiyo bei? ni kubwa sana embu pitia mtandao wa kupatana.com uone bei zilivyo
 
Wakuu nimewaelewa lakini mnategemea biashara nianzie bei ya kuuzia?
Kama mtu yupo serious anipigie tuongee na aione gari ndio aanze kutoa comments zake.
 
wadau msiogopage bei kama mtu ana kaipenda kitu amrukie mwenye mali hewani mzungumze, ione gari kama utaikubali basi mnaanza kugarazana kuhusu bei uinunue...
 
Biashara kichaa,angalau ungeanza 6m ukashuka hadi 5.
Lakini from 11 we unafikiria nani atakupiga.
Bei ya awali ndio inampa picha mhusika apige au sipige.
 
Biashara kichaa,angalau ungeanza 6m ukashuka hadi 5.
Lakini from 11 we unafikiria nani atakupiga.
Bei ya awali ndio inampa picha mhusika apige au sipige.

Soma vizuri advert yangu , bei ya kuanzia ilikuwa 8.5
After all nimekwisha uza kwa 7 mln kwa muhitaji wa ukweli
 
namashaka na hiyo mileage ukilinganisha na mwaka wa kuzaliwa iyo gari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom