Tovuti ya Wizara ya Elimu Tz imefanyiwa hacking tena..

Hao wameandika tu kuwa ni wa Morroco lakini ukute ni waTanzania tu. Watu wa morroco na tz wapi na wapi, hao ni wabongo tu

Ni wa morroco kweli mkuu.. Nitakuja na full tutorial on how to hack any joomla cms site na jinsi ya kujikinga na hackers for education purposes.. Stay tuned!
 
Webmaster wao anatakiwa afanye backups kama alikuwa ana copy ya backup. Kama hana ndiyo imekula kwake.

Mpaka sahivi naona bado haijarudi hewani kamili na inaonekana ipo suspended

View attachment 273044

karibu wiki 1 sasa website ya moevt haifunguki unakuja huo ujumbe tu, hivi hiyo ina maana imekuwa hacked tena au mamlaka ya mawasiliano wanaidai wizara kwa kutumia hiyo domain?
 
Hao wameandika tu kuwa ni wa Morroco lakini ukute ni waTanzania tu. Watu wa morroco na tz wapi na wapi, hao ni wabongo tu
Nakuunga mkono, labda wamebadili tu IP address, inaonekana inasoma Morocco kumbe wapo tu hapo posta!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom