Tovuti ya secretarity ya ajira

Leak

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
52,210
42,072
Secretarity ya ajira imezindua tovuta ilikuwezesha matangazo ya kazi kufikia watu kwa haraka na pia kupunguza mianya ya rushwa na kuwezesha kupata watumishi wenye sifa stahiki.Kwani nafasi zote za kazi zitakua zikipatikana humu.
Tovuti hiyo iliyozinduliwa jana inaitwa

www.ajira.go.tz
vijana mmehaswa kuitumia kilasiku ili kuwawezesha kupata kazi.
 
Awali ya yote shukrani kwa information mkuu, ni hatua nzuri hiyo naamini watakuwa wawazi katika usaili na kuacha upendeleo.
 
Back
Top Bottom