Top 100 Universities in Africa...Heko UDSM!!!

wazungu hawaishi kujipendelea, tunaweza kujiuliza kama zuzu aliyesoma UDSM

anapata A+ ulaya, je wa first class atapata nini,
mwanangu mimi nimefanya degree ya pili ulaya walikuwa wananiona kipanga, na mimi sijaona tofauti yoyote kati ya ada na mba mpaka semester ya mwisho.

kwanini elimu yao iwe juu, vitabu ndio vilevi8le, mtandao ndio huu kwanini elimu ya harvard iwe kiboko na sio ifm,
inanishangaza sisi wasomi wa bongo kuingia kwenye malumbano ya kibwege.
kitu muhimu tujuwe wazungu hujipendelea na husema kwao ndio kwenye elimu na ustaarabu ukiishi nao ndio utajuwa sawa na washenzi wengine wowote duniani
 
Ni kweli kabisa Kaka Mweusi, hili swala nilikuwa namweleza Kichuguu sasa naomba ajibu hilo swali kama failure UDSM ni kipanga Ulaya basi elimu bora iko wapi?

Na aliye first class (hons) atakuwa nani? Professor, Doctor, au nani? Tuache kufikiri ndani ya box! Think BIG think WIDE and outside the box.
 
Ben Hapo juu umenena, University of Dar es salaam imarisha Taaluma. Sikia habari kutoka huko Mabibo!!!

University ya Dar es alaam ya miaka ya 70, 80 na 90 sio ya leo.

Ni vigezo gani vimetumika? Tafadhali andika vigezo vyote hapa. Nadhani Kigezo cha Taalumu hakijatiliwa maanani. Hata Nidhamu? Nidhamu ni muhimu sana katika mafanikio academicaly. Jaribu kuangalia Seminary Secondary schools..... Perfomance academically ni high. Sasa Jaribu Angalia UD na cmpare na Mzumbe na Sokoine University.

Especially University of Sokoine In Morogoro pass mark lowest ni 50 na UD lowest ni 40. Hivyo kama anavyosema Mshiiri hapo juu. Failure wa Sua ndio Mwanafunzi halali wa UD.

Ili nisihukumu wasiohusika tafadhali anayejua vigezo vilivyotumika aweke hapa chini? Ina maana ni kigezo cha kuwa cha Zamani???
 
hata mimi mpaka leo nashindwa kujua wanatumia vigezo gani kufanya ranking ya hivi vyuo, na ni nani haswa anayefanyia ranking ya hivi vyuo...!

Kwa chuo kama UDSM kuwa cha 15 sizani kama ni kweli, UDSM ni kati ya vyuo rigid academically and some how lacks innovations on its academic caricula, pale wamejaa maprofessa na madokta walio na ideas kwamba ukifelisha wanafunzi (ukawapa suplimentary) basi ndio chuo kinaonekana kipo juu...!

Pia baadhi ya Mitaala imepitwa na wakati hasa ukizingatia demand ya soko, angalia Mzumbe university imekuja juzi tu lakini wamekuja na courses nzuri na zilizo relevant hata kushinda UDSM, leo hii mtu wa Mzumbe akimaliza Accounts pale anapata excemption ya masomo saba ya ACCA, unlike UDSM ambaye inabidi afanye masomo yote 14...!

Kwa kweli mi sijajua ni kigezo gani kimetumika, haswa ukizingatia wanafunzi wa UDSM pamoja na kuwa ni baadhi ya wanafunzi wazuri sana kitaaluma lakini ni kati ya wanafunzi walio na pass marks (GPA) mbovu sana kulinganisha na vyuo vingine...!

Its true Mhafidhina n thanks kwa kufikiria nje ya box. Lecturers/Instructors hapo UDSM inasemekana si students friendly na huwanyima wanafunzi usingizi kwani mhadhiri hujulikana mbabe pale anapokamata na kuchia ama kutoachia kabisa. Hupata sifa kwamba anarudisha imani ya chuo na ku-maintain standard ya chuo. Huo ni uozo kwa kuanzia. Wahadhiri wake wengine wamegushi ama kudanganya katika tafiti zao na mifano dhahiri nimepata.

Kwa tafiti hawamo kwani tafiti zao huwekwa katika makabati yao na hamna felt effects/impats ya tafiti kutoka UDSM compared to Sokoine, yenye miradi nchi nzima; misitu, wanyama pori, biashara, maua, matunda, uhandisi, ufugaji na kilimo kwa ujumla.

Criteria ilotumika iko up side down. Simple!
 
Methodology Used,

First published in 2004

Since 2006, two editions (January and July)
World coverage
Higher education Institutions (mostly universities): +13,000 (Jul’07)
R&D related institutions (mostly research centers): +4,500 (Jul’07)
Web indicators

Only institutions with an independent web domain
univname.edu not hosting.edu/univname (except Helsinki University)

Data from search engines (web visibility intermediaries)


Indicators used in the calculation of the combined indicator WR



10


METHODOLOGY


Normalization


log (na+1) N: search engine (Google, Yahoo, Live, Exalead)

Na= ----------------------------- a: web domain

log (max(ni)+1)


Median method (Size)


Sa= ½ * ((Ga + Ya + La +Ea) – max (Ga,Ya,La,Ea) - min (Ga,Ya,La,Ea))


Rich files


Ra= PDFa + DOCa + PPTa + Psa


Ranking


Sa -> Ra(S)

Ra -> Ra(R) Va -> Ra(V) 1:1 WR= (4*V) + (2*S+1*R+1*Sc)

Sca -> Ra(Sc)

Source: http://www.arwu.org/IREG-3/PPT/4 No PPT Isidro Aguillo (table)/webometrics_aguillo.ppt

More info at: http://www.webometrics.info/methodology.html


Well kwanza University of Dar es Salaam inabidi washukukuru kuwa kwenye hiyo position kwa sababu kwanza website yao haivutii kabisa, hakuna information za kutosha, many dead links, very old information etc...kwa hiyo kinachowainua labda ni umaarufu wa jina walilojenga miaka hiyo ya zamani na kuwa na links na many other universities worldwide.

Kingine ni kuwa inaonekana kila mwaka namba inazidi kushuka, nakumbuka first time hizi information zinatolewa ilikuwa namba 13 katika Afrika.....nyuma ya Universities za South Africa na moja ya Egypt.
 
Naomba nifahamu M&E indicators wanazotumia katika ku rank. Hapa sipingi South Africa to dominate the rank but kwa UDSM mh mambo yalivyo kwa sasa is questionable???? Though pia naupongeza uongozi wa UDSM kwa kuwa top 100 and scoring namba 15!!!
 
At the end of the day unagundua this are just 'formalities' tu, i think others are there b'coz they kind of 'red brick' universities, ukichunguza kwa undani utagundua nothing substantial is being done on the ground!

Ukitaka kuamini, just check products zao!!, feathers!
 
Bravo!!!! UDSM sasa waache siasa zao, badala ya kujenga madarasa na mabweni mazuri wao wanajenga Mashoping-Malls.
 
Kama UDSM inatesa Afrika basi hali ya Elimu katika Vyuo Vikuu vya Afrika ni mbaya sana! Nilisikia habari kuwa UDSM wanafunzi wengine wanasikilizia mhadhara wakiwa nje kutokana na kujaa kwa Wanafunzi na kuwa MAktaba yake haina vitabu vya kutosha. Sasa kuwa amongs top universities katika Africa inamaanisha Elimu Afrika iko hoi.
 
Mwaka juzi UDSM ilikuwa ya 13 kati ya vyuo vyote Africa, vyuo 11 vikitoka South Africa na chuo cha 12 kikiwa cha Cairo,na cha 13 udsm. nashangaa sasahivi imejump kiasi hicho. na study hiyo iliyoonyesha hivyo hapa hiyo mwaka juzi, ilifanywa na profesa mmoja hivi wa Kenya anayefanya kazi havard. we should be proud of ourselves. thanks be to God.
 
Nimejaribu kufanya utafiti kuhusu ranking ya chuo chetu kikuu UDSM, lakini naona hapa ni siasa zaidi au huwa wanatumia theoretical assumptions zaidi kuliko reality...! Hivi unaweza vipi kurank chuo ni cha 24 wakati kina lecture theatre moja? Seminar room 3?

Maprofesa wasiozidi 20? tena wengi wao ni uchwara wanoaamini kufelisha wanafunzi na kutunga mitihani migumu na isiyojibika ndio kupima akili au uwezo wa mtu kitaaluma?

Irrelevant courses basing on the global need and country needs? Student lecturer ratio is 1:80? Je hicho ndio chuo cha 24 Africa? Kama ni hivyo basi hali ya hivyo vyuo vingine vinavyotufuata ni mbaya sana, na haipaswi mtu kwenda kusoma huko...!
 
Hizi rankings hazina ukweli wowote. Nadhani chuo chetu kukiweka cha 24 ni kutokana na kuwa na majani ya kijani mengi na NGEDERE. Pia nadhani kutokana na kuwa kidogo kwenye kilima. Ila kama ni taaluma hao watu waliofanya ranking hawajaingia UDSM wakutane na waanafunzi pale A21(COET) walivyojaa na hewa hakuna. Au THEATRES waone. Pia hawajaingia vyooni na kule HALL2 ambalo limekaa angle fulani kiasi kwamba watu 10 wakiliegemea upande mmoja linaanguka.

Wasitudanganye kwa rankings za kipuzi. Chuo kinahitaji ukarabati wa hali ya juu, kupanuliwa zaidi ili kiendane na idadi ya wanafunzi. Ama sivyo nawahakikishia mwisho wa mwaka huu UDSM kitakuwa cha pili after CTU(CAPE TOWN UNI) ndio uone kuwa SISI NI WADANGANYIKA kuanzia kwa wenye elimu ya chuo kikuu, WANAVYOONI. LOL
 
hata mimi mpaka leo nashindwa kujua wanatumia vigezo gani kufanya ranking ya hivi vyuo, na ni nani haswa anayefanyia ranking ya hivi vyuo...!

Kwa chuo kama UDSM kuwa cha 15 sizani kama ni kweli, UDSM ni kati ya vyuo rigid academically and some how lacks innovations on its academic caricula, pale wamejaa maprofessa na madokta walio na ideas kwamba ukifelisha wanafunzi (ukawapa suplimentary) basi ndio chuo kinaonekana kipo juu...!

Pia baadhi ya Mitaala imepitwa na wakati hasa ukizingatia demand ya soko, angalia Mzumbe university imekuja juzi tu lakini wamekuja na courses nzuri na zilizo relevant hata kushinda UDSM, leo hii mtu wa Mzumbe akimaliza Accounts pale anapata excemption ya masomo saba ya ACCA, unlike UDSM ambaye inabidi afanye masomo yote 14...!

Kwa kweli mi sijajua ni kigezo gani kimetumika, haswa ukizingatia wanafunzi wa UDSM pamoja na kuwa ni baadhi ya wanafunzi wazuri sana kitaaluma lakini ni kati ya wanafunzi walio na pass marks (GPA) mbovu sana kulinganisha na vyuo vingine...!


Yaani hili la gpa ndo usiliongelee kabisa, wewe mumbe na tumaini wanaongoza kwa kupata first class na udsm hawana lakini nenda kwa waajiri watakwambia,especially law products za mzumbe na tumaini ni aibu kawaulize hata wenye law firms walioingia mkumbo wa kuwaajiri hawa watoto kwa kufata gpa, ni ishu hadi lawyers na advocate through TLS wana mpango wa kutafuta namna ya kurekebisha hii hali, yaani ni aibu, hawajui chchote lakini wana first class. Mfano mdogo tu ni ile law school iliyoanzishwa ambayo imejaa watu wa tumaini na mzumbe, yani unaambiwa hakuna hope ya wao kugraduate maana kwa ufupi hakuna wanachojua,m kafanye tu utafiti juu ya hili kisha njoo hapa useme ulichokipata. Ile ni biashara ili wapate watu zaidi inabidi gpa ziwe za juu ili biashara iendelee, just like st marry's school wanavyoiba mitihani ili watoto wote wafaulu biashara izidi kuchanua.
 
University of Dar es salaam imejitahidi kutoa elimu bora ukilinganisha na mazingira ambayo serikali imeiwekea.Serikali imekua ikikilazimisha chuo hicho kuchukua watu zaidi ya uwezo wake lakini bado kinajitahidi.
Kupata elimu si lazima kupata first class,ni kuwa na uwezo wa kutumia elimu uliyopata kuleta solution katika area of specialization na jamii kwa ujumla.
Pia,hata mlimani ukikomaa vya kutosha first class zinapatikana ila sio kama zinavyopatikana vyuo vyetu vya kibiashara vinavyozimwaga kama njugu ili kuvutia watu zaidi.
Ukiangalia trend ya matokeo ya mtu aliyemaliza mlimani utaona kuwa kuna uwiano kati ya o-level,A-level na chuo.Lakini vyuo vyetu watu wana matokeo ambayo ukilinganisha na matokeo ya nyuma hayaendani na tunajiuliza, watu wanaibukia chuo kikuu? Au uwezo wa watu unaongezeka wanapofika chuo kikuu?
 
Wakuu,

While commenting on this thread ni muhimu kutofautisha kati ya wanafunzi,
waalimu chuoni na serikali teule.Hii thread niliianzisha na lengo la kuuliza
serikali ifanye more than they are doing in assisting UDSM to excel both locally
and internationally.Despite the hardsdhips at the Uni, the campus can still be
ranked among the best in Africa regardless of criteria.At least tumo tunajulikana.

Wanafunzi wakimaliza A-level na ku-qualify chuoni they are as good as any other
in East Africa or even Africa as a whole.Kwa hivyo wanapofika chuoni na kukumbana
na matatizo ya lack of books or any tools for pursuing excellence then the
blame falls squarely on the govt.

Watu wako-quick kusema UDSM hivi mara UDSM vile....hatujui wanakosoa
serikali au wanafunzi.Cha mno ni kuwauliza viongozi husika as to why stuff is
not being availed to the students so that they can excel.The students are as
hardworking as anywhere in the world....even more hardworking than people
in the west who are born with Schools and Colleges in abubdance.

Kwangu mie msimamo bado upo pale pale....Heko UDSM!!!
 
[/B]

Yaani hili la gpa ndo usiliongelee kabisa, wewe mumbe na tumaini wanaongoza kwa kupata first class na udsm hawana lakini nenda kwa waajiri watakwambia,especially law products za mzumbe na tumaini ni aibu kawaulize hata wenye law firms walioingia mkumbo wa kuwaajiri hawa watoto kwa kufata gpa, ni ishu hadi lawyers na advocate through TLS wana mpango wa kutafuta namna ya kurekebisha hii hali, yaani ni aibu, hawajui chchote lakini wana first class. Mfano mdogo tu ni ile law school iliyoanzishwa ambayo imejaa watu wa tumaini na mzumbe, yani unaambiwa hakuna hope ya wao kugraduate maana kwa ufupi hakuna wanachojua,m kafanye tu utafiti juu ya hili kisha njoo hapa useme ulichokipata. Ile ni biashara ili wapate watu zaidi inabidi gpa ziwe za juu ili biashara iendelee, just like st marry's school wanavyoiba mitihani ili watoto wote wafaulu biashara izidi kuchanua.

si kweli maana mimi ninao wote, be sincere.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom