Top 10 gadgets in 2010-TZ version

Gurta

JF-Expert Member
Sep 17, 2010
2,234
531
Wakati tunakaribia kumaliza mwaka huu 2010 nataka wadau tufikirie kuhusu top 10 gadgets ambazo zilishangaza ulimwengu wetu (siyo the whole world, but this world of ours down here).

According to TIME magazine in association with CNN these were the To 10 gadgets of the 2010.


  1. iPad (tablet computer)
  2. Samsung's Galaxy S (smartphone)
  3. 11 in. MacBook Air (a lappie)
  4. Google TV via Logitech Revue (television)
  5. Nexus One (smartphone)
  6. iPhone 4 (smartphone)
  7. Apple TV (television)
  8. Toshiba Libretto (dual screen lappie)
  9. Kinect (gaming)
  10. Nook Color (e-reader)
I was wondering if we, the GT, can create a localized version for TZ or E. Africa. Karibuni.

  1. iPhone 4
  2. ................
  3. ................
 
Acording to BBC Professor Robert Winston has selected his top 10 scientific advances of the past 50 years

  • Stem cell reseach
  • Bio- mechanics
  • Contraceptive pills
  • Decoding theHuman Genome
  • The internet
  • IVF
  • Laser
  • The microchip
  • MRI scanning
  • More evidence for big bang
source http://www.bbc.co.uk/science/
BTN
Creating localised EA or africa version hard task. Inabidi tukubali watakavyopanga wao na sisi tufuate tu . Labda kwenye mambo ya utabibu
 
'0' means nothing! I can say maana vyote twadesa tena vilivyoita na wakati ama huku Africa hasa TZ haviwezifanya kazi, Kwa hiyo badili aina ya Gdget za Kitanzania hapo tutakuambia sawia. Upo hapo?
 
Creating localised EA or africa version hard task. Inabidi tukubali watakavyopanga wao na sisi tufuate tu .

Inawezekana ni kweli ila kuna vitu vingine huku kwetu hata havijafika (mf pale kenye gadgets), lakini vipo vilivyofika na tukaona kama ni boro hivi.
 
'0' means nothing! I can say maana vyote twadesa tena vilivyoita na wakati ama huku Africa hasa TZ haviwezifanya kazi, Kwa hiyo badili aina ya Gdget za Kitanzania hapo tutakuambia sawia. Upo hapo?

Simaanishi kuwa vitu hivyo vimetengenezwa TZ; ila vimetengenezwa huko viliko tengenezwa lakini watumiaji waTZ wanafikiri ni bora.
 
Back
Top Bottom