tongozoro

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,496
3,461
habari yenu wakuu.
naomba kuuliza, hivi ile dawa ya tongozoro inafanya kazi?.
Nasikia kama wewe ni domo zege kwa mademu ukiitumia tu unaanza kutema mistali na unaye mpenda anakubali hapohapo. hasahasa ikitumiwa na wasichana ndo unatoa neno moja tu mtu anaingia line. vipi hii imekaaje? kuna mtu kaniagizia nimnunulie. kwamba inauzwa kwenye maduka ya madawa. je wapi naweza ipata. msaada japo sio mimi ninaye ihitaji.
 
Ukiipata hiyo dawa hebu nambie na mimi nikainunue, kwani kuna mchuchu humu JF nimemmaindi kichizi yaani lakini kila nikijaribu kufungua mdomo ulimi unakuwa mzito ajabu!.
 
Kama hajui kutongoza mwambie aandike barua kueleza shida yake then akupe umpelekee kwa mdada anayemtaka....
Teh hii dunia ya sayansi na Tech ye anataka kuturudisha nyuma tena
 
Ngoja waje wenye uthibitisho na hili. Sasa tongozoro pekee bila kueleza unachotaka mmh! Naona ni OLD STONE AGE hiyo.
 
...sasa kama "kakuagiza" si ukamnunulie?..nenda akwambie ni wapi zinauzwa...siku ingine usichukue maelezo nusu nusu!....
 
Ukiipata hiyo dawa hebu nambie na mimi nikainunue, kwani kuna mchuchu humu JF nimemmaindi kichizi yaani lakini kila nikijaribu kufungua mdomo ulimi unakuwa mzito ajabu!.

nikipata ntakuambia. usihofu wala nini.
 
Kanunue pilipili kichaa. Ukitafuna 5 tu, maneno yatakuporomoka mtoto wa kiume kama bomba la maji machafu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom