toka nimwambie mie ni bikira mmmh!

Jamani mbona mwampeleka kusiko,
angetaka kupiga mnada angeshafanya hivyo,
Kama wewe wahitaji Tangaza wapo wengi tu hawajui wakauze wapi ukitangaza Dau watajileta uchague!
 
Yani mimi huo umuhimu wa bikira hata huwa siuoni..utamu utamu tu,kwanza siku hizi bikira feki kibao! The point ni kwamba mwanamke awe katulia,anajiheshimu basi..wa2 wanapapatikia bikira wakati mchezo ni ule ule mwisho wa siku magoli yafungwe game over!
 
Hebu weka hiyo Virgin yako hapa tuhakikishe kwanza kama ni orijino au ndio zile za kichina
 
Ningekuwa mimi, ndo unaniambia wew ni Bikira,ningekuacha hapo hapo! UJINGA M2PU, yaan nipate tabu kuanza kukupanua? Tena cjajua umr wako... Kutoa bikra za ukubwan ni Ngum na Tabu 2pu... JAMAA AKIKUTOA,NITAFUTE TULE MALAVIDAVI!
 
Yawezekana mwanzo kabla hajajua alitaka kuplay tu c unajua lakini alipoona kuna ngozi akabadili mawazo, sasa anataka jumla kwa nia nzuri tu. Kumbuka wengi wetu tunaamini ukipata mwenye ngozi atakuwa mwaminifu. Angalizo: Hapa shirikisha sala kwa nguvu zako zote.

Kuna mzee mmoja alishawahi kuniambia kuwa ni heri kuoa kabisa malaya kuliko mwanamke mwenye bikira. Ni heri yule ambaye alishatembea na wengi na kuona mengi lakini sasa anataka kusettle. Na wengine wanasema try before you buy it. If you like you can take it. If you don't you can return it back and you will get a full refund. Ila hongera if you're genuine.
 
mwenye bikra hayajui malovee.. mwanamke akiniambia ni bikra nitakimbia ht cangalii nyuma.any wayz ukitaka kujua km anataka kukuoa au vp.mpe tundi
 
Pamoja na kwamba pengine ni dhambi, lakini kuoa mwanamke bikira ni hatari sana hasa hawa wanaopitia kwenye JF na mitandao mingine. Kuna hadithi za ajabu sana humu kiasi ambacho huyo aliyeolewa bikira atataka kujaribu mambo tofauti aliyosikia humo ambayo mme wake hana.

Kuna demu humu kashangaa sana hapa juzi kuwa mwanaume anaweza ku do na mwanamke dakika 45 kabla ya kushusha mzigo, hatari yake anatamani aone maana mme wake yeye eti ni 5 to 8 or 10 dakika.

Acha bikira zitolewe huko primary na secondary mkija kwenye ndoa muwe tayari ok, lakini si vizuri ukafanywa jamvi la kijiji/shule/mtaa/mji. CV yako isije kuwa mbaya sana.
 
Bikira za midomoni hizi bwana aahhhkkk kazi kweli kweli kuziamini. Your age plz then I will come back soon!!!
 
Kama unamuona ni mtu anayefaa kuitwa mume, na unadhani yupo katika wakati ambao anaweza kuoa, mwambie afanye utaratibu mfunge ndoa.
Au kama anaonesha nia ya kuwa na malengo hayo, lakini kwa sasa bado ajafikia uamuzi huo, usimlazimishe.

Ila kuwa makini, tuliza moyo, jilinde zaidi na zaidi, epuka vishawishi na mazingira yatakayokupelekea wewe kuingia kwene mtego wa kufanya mapenzi. Aisee hawa ndugu zetu wanaume wamepewa akili ya tofauti sana juu ya wanawake, hayo yote anayoyafanya kwa juhudi na maarifa yote, yawezekana ni janja tu, kama ile ya kumkamata kuku kwa kumrushia punje za mahindi au mchele.

Sasa we fikiria kabla hujamwambia hivo mbona alikuwa hafanyi hayo??
Angalia bwana yawezekana mtu hakupendi anapenda "Virgin" na ikishaondoka/akishaitoa ujue imekula kwako.

Mmmmm, bora usingemwambia hivo, lakini angalia, huwa wana maneno mazuri sana hawa ya ulaghai.
aisee, wewe ni very skeptical
 
experience inahitajika katika kila sehemu siku hizi,unaweza kuwa na cheti kizuri lakini ukawa hufai kwa kukosa experience,vivyo hivyo kwa mwanamke,kujitangazia bikra ni kutangaza kuwa huna kabisa experience ya mapenzi,una rumors 2 za mapenzi!wa2 wengi wanataka vi2 ambavyo vipo tayari kwa matumizi!
 
Duuuhhh 23yrs ushajua mambo yote haya?? Bikira??? Waijua vizuri weye?? Na wasiwasi wameshakuchakuchua mpa mwisho unaleta blaa blaa tu hapa kwa watu wazima kama sisi!!!!

tatizo wabongo tumezoea kudanganya kwa iyo mnadhani kila m2 anadanganya. ukweli ndo huo n no one else anajua icipokua my boyfriend n u jf.
 
tatizo wabongo tumezoea kudanganya kwa iyo mnadhani kila m2 anadanganya. ukweli ndo huo n no one else anajua icipokua my boyfriend n u jf.

Hivi unajua ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu??? Boyfriend wako anajuaje na hamjadu ze nidiful??? Wewewe kuwa makinii alooohhh
 
Back
Top Bottom