Toka kwa Wananchi: Kero na vitendo vya kifisadi vinavyoendelea nchini vinavyotakiwa kufuatiliwa

Naanza kutoa pongezi zangu za dhati kwa awamu ya tano na kauli mbiu yake ya hapa kazi tu. Toka uhuru wa tanzania yetu haijawahi tokea mafisadi na wapiga dili wanalia lia kwenye magazeti na maeneo mbalimbali kama kipindi hiki. Kwahiyo ninacho kuomba Raisi wangu wala usisikie vilio vya hao wasiolitakia mema taifa letu kimaendeleo halafu ukalegeza utawala wako, utashindwa vibaya mnooo. maana watanzania sio watu kuchekeachekea, watakuangusha vibaya.
Ombilangu kwako kaza buti hivi hivi na Mungu baba yetu wa Mbinguni anakuona na hauta dhulika kwa lolote kwa kuwa unatenda mema yale ambayo Mungu anayataka.
Na mimi leo nimeanza maombi yangu ya wiki nzima ya kufunga na kuomba kwa ajili ya utawala wako ili Mungu akuzidishie hekima kama za selemani mfalme wa taifa teule la izlael.Amina.

Ni mimi mpenda maendeleo ya taifa letu tanzani mpyaa.
 
Mi nilijua ameanzisha mahakama ya mafisadi ili tuwamalize wale waliokula pesa zetu kama escrow etc......
Sasa aliposema hafukui makaburi ndio niliishiwa pozi kabisa amemuanzishia nani??

Ndio maana tundulissu aliwahi kusema tatizo sio mahakama ila sheria zetu ndio tatizo

Anyway [HASHTAG]#Ngoja[/HASHTAG] ninywe maji kwanza
 
Nitamuelewa siku akimkamata ndugu yake Lugumi......

Na aliyemuweka Ikulu IPTL......

Zaidi ya hapo ni kuonea watu tu bora akaacha kupambana na vidagaa kutafuta publicity......
 
Mleta mada tuambie ni Mungu yupi huyo unafunga kumuomba?! Labda mizimu, nchi hainyoshwi na mtu (binaadamu) ni wa kupita na maisha yetu ni mafupi. Lakini taifa litadumu na maisha yake ni marefu. Kinachoinyoosha taifa (nchi) ni katiba nzuri ya wananchi sio mbwembwe.
 
Uendelee kuomba ili usije badilishia gia angani mana kwenye kuisoma namba wote tunaisoma, omba pia usijebadilisha aina ya maombi unayoyaomba sasa.
Endelea na msimamo wako hadi 2020.
 
Mleta mada tuambie ni Mungu yupi huyo unafunga kumuomba?! Labda mizimu, nchi hainyoshwi na mtu (binaadamu) ni wa kupita na maisha yetu ni mafupi. Lakini taifa litadumu na maisha yake ni marefu. Kinachoinyoosha taifa (nchi) ni katiba nzuri ya wananchi sio mbwembwe.
Kusimama kwa taifa lolote linategemea kiongozi mzuri kama Raisi magufuli. Sisi waombaji lazima tumuombeejamaa. Kwani Mungu ndio muweza wa yote aminaa. Nitamuombea kwa utawala wake wote na ninajua Mungu wetu si kiziwi atanisikia Amina.
 
Mkuu Elimu ya hapa na pale. Kuomba ni kuamini na kusadiki, lakini kuendesha nchi ni reality si kuamini na kusadiki . Huyu jamaa angeperform vizuri zaidi kama katiba na Taasisi zetu za kumsaidia uongozi zingelikuwa perfect. Lakini hii inayoacha maamuzi juu ya kichwa cha mtu moja haifai na akipita atakayefuata atavunjilia mbali hayo unayoyaona kama mafanikio. Kwa sababu tunamuachia binadamu atuamulie na si katiba tuliyokubaliana wote.
 
Kila siku Naomba kwa ajili ya Yangu na Taifa kwa ujumla

Kwa hoja ya ufisadi
na mafisadi na maana ya ufisadi haitakaa iguswe na mfumo huu wa Ccm kwanza hajawahi kuwa agenda yao.

kwa maoni yangu haitakaa itokee kuwa agenda yao.

Kutumbua majipu sio vita ya ufisadi ni vita ya kisiasa

Mimi nlikuwepo siku Neno ufisadi linatajwa kwa mara ya kwanza na maana yake kisiasa pale Mwembenyanga na maanayake .

Mpaka sasa anatimiza wajibu lakini sio kupambana na ufisadi aliowaaminisha amisha watu .

Kila siku tunawoana akipishana na kula pamoja .
Uzuri watuhumiwa wakubwa wako naye ccm.

u !
 
Pole ndugu yangu, inaonekana huelewi kabisa, ebu ngoja nikusaidie. Kwahiyo katiba ndio ilikuwa inawafanya watu kufisadi inchi na kuajiri wafanyakazi hewa? lazima kiongozi awe na maamuzi madhubuti kama afanyavyo magufuli Raisi wetu. Hata wewe kwenye familia yako kama huna maamuzi basi hiyo familia ni feki. Mafisadi wameiligarim taifa hili hadi tunajuta halafu wewe unasema katiba? hata ije katiba kutoka mbinguni kama haina msimamizi kama Rais Magufu itakuwa sawa na bure sawa?
 
Nilipoona tu maneno ya "...Naanza kutoa pongezi zangu za dhati ........" wala sijamalizia kusoma thread yako.
 
Kila siku Naomba kwa ajili ya Yangu na Taifa kwa ujumla

Kwa hoja ya ufisadi
na mafisadi na maana ya ufisadi haitakaa iguswe na mfumo huu wa Ccm kwanza hajawahi kuwa agenda yao.

kwa maoni yangu haitakaa itokee kuwa agenda yao.

Kutumbua majipu sio vita ya ufisadi ni vita ya kisiasa

Mimi nlikuwepo siku Neno ufisadi linatajwa kwa mara ya kwanza na maana yake kisiasa pale Mwembenyanga na maanayake .

Mpaka sasa anatimiza wajibu lakini sio kupambana na ufisadi aliowaaminisha amisha watu .

Kila siku tunawoana akipishana na kula pamoja .
Uzuri watuhumiwa wakubwa wako naye ccm.

u !
Mbona waliokuwa ni agenda yao ndio walio wakumbatia haohao mafisadi na kuigiza kuwaaafisha kwa madodoki. Na mbaya zaidi baada ya chama hicho ukipendacho kukumbatia mafisadi sasa ivi huwasikii tena kukemea ufisadi wamebakia kulilia luninga bungeni. Wewe unaisha tanzania ipi?
 
Naanza kutoa pongezi zangu za dhati kwa awamu ya tano na kauli mbiu yake ya hapa kazi tu. Toka uhuru wa tanzania yetu haijawahi tokea mafisadi na wapiga dili wanalia lia kwenye magazeti na maeneo mbalimbali kama kipindi hiki. Kwahiyo ninacho kuomba Raisi wangu wala usisikie vilio vya hao wasiolitakia mema taifa letu kimaendeleo halafu ukalegeza utawala wako, utashindwa vibaya mnooo. maana watanzania sio watu kuchekeachekea, watakuangusha vibaya.
Ombilangu kwako kaza buti hivi hivi na Mungu baba yetu wa Mbinguni anakuona na hauta dhulika kwa lolote kwa kuwa unatenda mema yale ambayo Mungu anayataka.
Na mimi leo nimeanza maombi yangu ya wiki nzima ya kufunga na kuomba kwa ajili ya utawala wako ili Mungu akuzidishie hekima kama za selemani mfalme wa taifa teule la izlael.Amina.

Ni mimi mpenda maendeleo ya taifa letu tanzani mpyaa.
***
KWELI AKILI NI NYWELE.
UNGELIIFAHAMU SIRI YA MTUNGI, UNGELI KAA KIMYA.../
 
Ni kweli mafisadi ni tatizo kubwa tena sana tu. Lakini waliyafanya hayo kwa sababu ya udhaifu wa uongozi uliokuwepo na mianya katika katiba yetu na sheria zetu. Ni hao hao walioliingiza taifa letu katika mikataba ya kifisadi ya miaka 100 ya mrahaba wa 3percent ndiyo mashujaa na wanaweza wakasimama majukwaani na kuwatukana wananchi WAPUMBAVU, MALOFA & MBUMBUMBU. Wengine ni viongozi wa muhimili mwingine wa dola. HAYA YASINGEFANYIKA KAMA KATIBA NA SHERIA ZETU ZISINGEBAGUA.
 
•••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••••
•NITAANZISHA MAHAKAMA YA MAFISADI.
•SITAFUKUWA MAKABURI YA ZAMANI.

*safe sides.
√ESCROW
√EPA
√AND ALL DUDUS...
 
ongeza RICHIMONDI. haaaahaaaa
 
Back
Top Bottom