Togo National Team Shot in Ambush, what's their fate?

kangu mimi binafsi kwa tukio hili limetia doa mashindano yote..I was listening to BBC swahili service this morning kuwa Togo wamerudi nyumbani
 
western media imekuwa negative sana Angola kuandaa CAF ,hasa wakiona Wachina wamejenga top class stadia!sasa hii shooting walitaka kuihusisha na FIFA 2010 South africa!What a shame
Mimi sio fan wa football lakini nimeguswa sana na hii notation yako, hasa jinsi wazungu wanavyoona hakuna kizuri kinachoweza kufanyika Africa!

Ahsanteni wachina, wazungu mlie tu, maana hakika mchina anawatesa sana kiakili, najua hamlali!

Sababu zenu za kuchonga hazitazaa matunda-shame on you!
 
mimi sio fan wa football lakini nimeguswa sana na hii notation yako, hasa jinsi wazungu wanavyoona hakuna kizuri kinachoweza kufanyika africa!

ahsanteni wachina, wazungu mlie tu, maana hakika mchina anawatesa sana kiakili, najua hamlali!

sababu zenu za kuchonga hazitazaa matunda-shame on you!


they wanted to take it as an advantage of earlier return of african players who play in their team
 
...eti Prime minister wao kakataa, na ametoa amri timu irudi Lome leo! Upuuzi mtupu, huyu Prime minister anaingiza siasa zake michezoni sasa. Hovyo kabisa!

Misfortunes inapoikumba timu mara nyingine inakuwa heri kwa timu vile vile. Si mnakumbuka Chipolopolo na ajali yao kule Gabon, Zambia awakaunda kikosi kipya ambao walifanya vizuri sana kwenye Olympic?

I've no doubt Togo wakiamua kushiriki, watacheza kufa na kupona kuwaenzi wenzao waliofariki, wakati huo huo kuonyesha hawa magaidi hata wafanye nini, mtutu sio suluhisho la matatizo yao!
 
Huyo PM alikuwa wapi asiwape jamaa NDEGE?

Alikuwa wapi kutofahamu kuwa KABINDA ni sehemu hatari duniani kupita kwa basi?

Hili jamaa naona akili zake hazina akili. Sasa hivi ndiyo anataka ajionyeshe ana uchungu.

Ovyo kabisa. Hata Tanzania kama wangelicheza na tena iwe Kenya tu, wangelienda kwa Ndege. Labda mashindano yawe Nairobi na sisi kambi ipo Namanga.
 
Huyo PM alikuwa wapi asiwape jamaa NDEGE?

Alikuwa wapi kutofahamu kuwa KABINDA ni sehemu hatari duniani kupita kwa basi?

Hili jamaa naona akili zake hazina akili. Sasa hivi ndiyo anataka ajionyeshe ana uchungu.

Ovyo kabisa. Hata Tanzania kama wangelicheza na tena iwe Kenya tu, wangelienda kwa Ndege. Labda mashindano yawe Nairobi na sisi kambi ipo Namanga.

...si ndio hapo? anataka kujikosha tu! Hovyo kabisa hawa wanasiasa 'Uchwara'!

Togo PM demands team return home

Sun Jan 10, 2010 6:27am EST

By Henrique Almeida

LUANDA (Reuters) - Togo's prime minister said on Sunday the national team must return to Togo and not compete in Africa's biggest soccer tournament after two of its delegation were killed when the team bus was ambushed by separatists.

"If a team or some people present themselves under the Togolese flag, it will be a false representation," Gilbert Houngbo told journalists in the capital Lome.

A player and a Togo soccer official in Angola had insisted earlier that the team would play in the African Nations Cup due to open later on Sunday.
"Togo are staying in the competition. I have called the players and they want to play. We are now awaiting official confirmation from the Togolese government," said Kodzo Samlan, general secretary of the Togo soccer federation and a press officer for the Confederation of African Football (CAF).


...'Chicken!', eti false representation!
 
...si ndio hapo? anataka kujikosha tu! Hovyo kabisa hawa wanasiasa 'Uchwara'!




...'Chicken!', eti false representation!

PM atakuwa anafanya makosa makubwa kuingilia michezo. Na hii inaweza hata sababisha Togo wakafungiwa kushiriki mashindano ya CAF kwa kuingiza siasa.
 
Mi naona hawa viongoz wa Togo wana2changanya 2. Mi nagoma kusoma habar zao, nakaa mbele ya Luninga yangu kusubir ufunguzi. Hivi ni TBC1 ndo wataonesha? Na ni saa 4 usiku kick-off eh?
 
ALJAZEERA Tv imemunukuu adebayor amebaye ni captain wa Togo akisema kuwa hawawezi kwenda kinyume na serikari yao lazima ma presidential plane imeshawasili ku wa airlift to Togo
 
Emmanuel Adebayor says Togo team will return home
Togolese officials had said the team would return because it was in shock

Togo captain Emmanuel Adebayor has told French radio his team will return home from the Africa Cup of Nations following advice from their government.


Adebayor ni drama queen fulani hivi! yeye keshajiuza EPL, hana wasiwasi anarudi zake Uingereza. Wenzake 'wengi' ni amateurs na unknowns apart from Mohamed Sissoko wa Juve. ACN ni kapu la vipaji, anyway...

Angola Vs Mali
Luanda
Kick-Off 17h00 (+1 GMT)

huenda kick-off ikawa saa mbili usiku time za Tanzania
 
Tatizo kubwa ni CAF. Ilikuwaje wawape Angola haya mashindano? Hakuna asiyefahamu historia ya Angola. Je waliweka ulinzi wa namna gani? Hata kuliko na amani timu huwa zinasindikizwa wakiwa kwenye msafara.

Walikuwa wako kwenye kupigwa kwa dakika 20 au 30 kama wanavyosema Je uchunguzi unasema nini hawa maghaidi walikuwa wanakitaka? Pesa? Kuua tu? Au kujulikana kimataifa?
 
Angola said on Monday it had arrested two people suspected of taking part in an attack on a bus carrying the Togo national soccer team to the African Nations Cup in which two delegation members were killed.

Provincial prosecutor Antonio Nito said in a statement the two suspects belonged to the Front for the Liberation of the Enclave of Cabinda (Flec) -- a heavily militarised oil-producing province geographically separated from northern Angola.

The Flec, which has being fighting for independence from Angola for over 30 years, had claimed responsibility for Friday's attack, which took place shortly after the Togo team's bus crossed from Congo Republic.

"The two elements of Flec were captured at the scene of the incident," Nito said in a statement published on the state news agency Angop.

Togo's team returned home on Sunday together with the bodies of their assistant coach and media officer to begin three days of mourning, but the sports minister said they still hoped to be able to join the Cup, Africa's biggest sports tournament.

"So it was pure chance that the gunfire hit the players," he told France 24 television. "We don't have anything to do with the Togolese and we present our condolences to the African families and the Togo government."

Togo's players said the rebels had sprayed gunfire at them for 15 minutes or more, but the accounts have been confused.

Togo's French coach, Hubert Velud, told the paper L'Equipe: "We were shot at from both sides of the bus, from 10m. We owe our lives to the nerves of our driver, who was able to keep driving for a few hundred metres before the army intervened."

But midfielder Moustapha Salifou told his club's website: "The driver of the coach was shot almost immediately and died instantly, so we were just stopped on the road with nowhere to go."
 
pole kwa timu..
na taifa la togo kwa ujumla...
bila kusahau wapenzi wa mpira..
pole kwa wafiwa...
 
Duu ni hatari sana wakatoe sadaka aisee maana wangekwisha wote....nawapa pole sana wafiwa na majeruhi na wachezaji wote .............poleni sana...ila kule Angola hata kwa hali kawaida mjini tu kunatisha sembuse mnakatiza pori lote pekeyenu?sijui hata waliwaza nini kabla na kuamua kuvuka bonde lenye misitu mizito vile....au walienda kwa babu?>???
 
well 'TIA'
let them decide either to play or go home...
its shame for Angola and Africa as a whole...
 
maskini Togo nasikitika wako hatarini kufungiwa na FIFA huku wakiwa katika majonzi mazito ya kuwapoteza wenzao
poleni sana Togo
 
Back
Top Bottom