Peasant
JF-Expert Member
- Sep 27, 2007
- 3,949
- 687
Nafikiri hapa swali la msingi sio Togo kusafiri kwa magari, ila ni kwa nini waandaaji wa mashindano wameweka mji/jimbo wa Cabinda kama one of the venue huku wakijua fika kwamba huko kwenye vita??!! Why?! I don't get it?!Bado nitawalaumu viongozi wa Togo FA kwa kusafiri na magari kwenye ukanda wa vita!!