Tofauti ya Lamb na Mutton

LAT

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
4,401
1,312
tofauti ya lamb na mutton

mfano utatofautishaje lamb curry na mutton curry
 
Lamb: Wakazi wa UK, New Zealand na Australia, wao wanatumia haya majina kama nyama ya Kondoo na Mbuzi ambaye ajakomaa bado ambaye yupo si zaidi ya mwaka tangia kuzaliwa kwake.

Hogget: ni nyama ya Kondoo ambaye amepita mwaka mmoja tangia kuzaliwa.

Mutton: Nyama ya Kondoo ambaye amekomaa (an adult sheep).

Haya majina ya Lamb, mara nyingi utumika kwa Kondoo mdogo na Mutton ni nyama ya mbuzi, na jina lingine ni chevon.
 
asante mheshimiwa X-PASTER

je? unaweza kutofautishaje nyama hizi zinapokuwa zimepikwa?
 
Kila nyama na radha yake... Ukipata nafasi nunua zote ndipo utakapojuwa... Kwa maelezo itakuwa ngumu kidogo.
 
Kuna hotel moja nairob waliniletea nyama wakasema ni lamb. Kuonja naona kama kondoo, eti wakaniambia sio kondoo ni mbuzi.
Nikaacha kula coz sipendi kondoo. Basi nikajua mimi ni mshmba sijui kua lamb ni mbuzi.

Kwa kweli walinichanganyatofauti na mimi nijuavyo kua lamb ni mbuzi
 
ukisoma maelezo xpaster hapo juu utajua kuwa lamb ni nyama ya kondoo na hata mie ninavyojua lamb ni kondoo na sio mbuzi..
 
Napenda sana nyama ya kondoo lakn ni sehemu chache sana wanatengeneza mutton. Je,kuna yyte anajua mahali ambapo inatengenezwa vizuri na ukihitaji muda wote waeza ipata?
 
Back
Top Bottom