Tofauti ya Azam na Vodacom kwenye udhamini wa Ligi

Jacobus

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
4,681
1,698
Ligi ya soka ya Tanzania inadhaminiwa na kampuni ya simu ya Vodacom na ya Uganda mdhamini wake ni kampuni ya Azam. Nimeona pana tofauti kubwa katika mambo kadhaa hasa ukizingatia Uganda wapo juu yetu.
1. Tanzania ligi inafahamika kama VPL, Uganda ni AUPL.
2. Tanzania mdhamini ana logo yake na ni lazima jezi ya timu iwenayo, Uganda mdhamini hana logo hivo timu ni huru kutumia jezi yoyote.
Hapa tujiulize maana yake nini haswa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom