Chifu kamaliza
Member
- Nov 17, 2011
- 32
- 5
Naomba mnielimishe mm na kwa faida ya wenzangu ambao wanatatizwa na jambo hili kama mm napenda kufahamu TOFAUTI KATI MWANA SIASA NA MWANA HARAKATI kwa sababu nimeshindwa kuwaelewa waheshimiwa waliko mjengoni na serekalini hasa waheshimiwa wafuatao Lema, Anna Kilango,shelukindo,Sitta, Lusinde Nape, Lissu na wengine wengi nashindwa kuwaelewa ndio maana napenda kufahamu tofauti kati mwana harakati yukoje na mwana siasa yukoje na Je mwana harakati ana weza kuwa mwana siasa? Na je mwana siasa anaweza kuwa mwanaharakati Naombeni mnielimishe na wengine wapate elimika kupitia JF.