Toa Mawazo Yako Kuhusu Kukosewa Kwa Post Za Kidato Cha Tano

Jun 23, 2015
45
2
Ndg, Tumeona Wanafunz Wng Ambao Wamepangwa Comb Siyo Na Baadh Yao Kupelekwa Shule Za Jinsia Tofauti! Nin Maon Yako Au Unahis Serikar Itawasaidiaje Hawa Wanafunz Kwasabab Zimebak Wiki Mbil Tu Walipoti Shuleni
 
Mnaanza kukosoa wakat kuna wenzenu wanazitaman san hizo nafas na wamezikosa
wanataman hata kesho second selection
 
Kumbe Wewe Huelewi Kabisa,unashindwa Kujua Haya Makosa Ndio Yamesababisha Wengine Wakose Nafasi? Hawa Wanafunz Wilaya Zima Walopelekwa Arts Hujui Kuwa Wengine Walikuwa Sayans Na Hivyo Arts Wangechukuliwa Hao Waliobakia? Mwanafunz kapelekwa shule ya kike nayeye ni mvulana wewe unasema tuvumilie? HAKUNA JINSI NI LAZIMA WARUDI WAKALE MATAPISHI YAO.
 
Back
Top Bottom