hehe sitaki kuamini haya maneno yanatoka kinywani mwako chaaa
Usiogope Kb, nimekufananisheni na Vasco kwa kigezo cha kutalii maana mnapiga ruti kila uchao, kwa mfano leo tutasikia uko kanda ya ziwa, baada ya siku kadhaa uko Bandari ya Salama, hatujakaa sawa uko mwisho wa reli.
Tamati.