penye ukweli lazima aseme au ww unakubali hayo matendo?huyo mzee naye nishachoka hata kumsikia.
Na watu wenye mioyo kama wake woote wazungu huwa wanawafanyia mkakati waonekane si lolote si chochote.You just have to give it to the guy... A true leader! Kamwe si bendera fuata upepo.
Na watu wenye mioyo kama wake woote wazungu huwa wanawafanyia mkakati waonekane si lolote si chochote.
It is Black and White Sizinga.Mugabe counts the days
Hii cake imekaa kama nyoka au macho yangu??