To be honest, I love Gadaffi...

"memkwa" ndiyo nini? Vijike kama wewe mmebakia kulialia na kubwatabwata humu kuhusu mapenzi yenu juu ya Gaddafi wakati wanaume wa kweli are putting their asses on the line every single day in Tripoli. Huoni haya? Kudadeki!

Haya uone wewe.
Mimi nitamsapoti Mheshimiwa wa ukweli barani Afrika mpaka pumzi yangu ya mwisho...
Mimi sio muoga na siyumbishwi.
 
<br />
<br />
Me to I love this man. Long live Colonel Muamar Gaddafi.

To like or admire someone isn't the same thing as to love that person. Sasa sijui tukueleweje. Una maanisha una mapenzi na Gaddafi, au?
 
kuna propaganda zimepangwa ulimwengu uaminishwe kuwa Kamanda katutoka.

Hivyo yeye Gadaffi binafsi katuambia wanawe kuwa wakitangaza tu habari hiyo basi tuwajibu ''We know he will not die.''
We know he will not die.
We know he will not die.
We know he will not die.
We know he will not die.

Allah akbar
 
Haya uone wewe.
Mimi nitamsapoti Mheshimiwa wa ukweli barani Afrika mpaka pumzi yangu ya mwisho...
Mimi sio muoga na siyumbishwi.

Stop being emotional kama kijike wewe. Wanaume wa kweli huwa wanafanya vitendo siyo kupiga domo tuu. Uende Tripoli ukapigane upande wake kwani mpenzi wako anahitaji sana Wapiganaji hadi kuwalipa mamluki kutoka nchi jirani.
 
Stop being emotional kama kijike wewe. Wanaume wa kweli huwa wanafanya vitendo siyo kupiga domo tuu. Uende Tripoli ukapigane upande wake kwani mpenzi wako anahitaji sana Wapiganaji hadi kuwalipa mamluki kutoka nchi jirani.

Hata kauli inasaidia kuonyesha kuwa tuko sambamba na muheshimiwa.

Wewe huna la zaidi unalojuwa zaidi ya kutinda nyusi na kusimama barabarani.

Acha tunaoutambua mchango wa Muammal ktk bara hili tumsapoti na kumuombea.

We kachukue kopo ukachambe
 
Hata kauli inasaidia kuonyesha kuwa tuko sambamba na muheshimiwa.

Wewe huna la zaidi unalojuwa zaidi ya kutinda nyusi na kusimama barabarani.

Acha tunaoutambua mchango wa Muammal ktk bara hili tumsapoti na kumuombea.

We kachukue kopo ukachambe

He may have built some masjid, or even a day care center and madrassah for Muslim children in your street, and that probably makes him a hero (and maybe even a potential lover) to people like you. But you could tell all that to the millions of Libyan people who have turned against him and who know what it really means to live under his rule. As to you, you're nothing but a Gaddafi w.hore, and you certainly sound like one.
 
Gadaff ni wa ukweli sio kama WANAMAGAMBA WAKWETU HAWA WAMEBAKIA KUFUJA MALI ZA TAIFA KWA kuunda tume kibao za ovyo na kurudisha bungen watu wezi na hali nchi ipo gizan, njaa na matatizo kibao.
 
Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.


Whether Gaddafi ni mzuri ama mbaya.. hiyo ni relative term for kila mtu ana kipimo cha uzuri wa mtu hasa Kiongozi, na extremes to be tolerated zikifanywa na huyo kiongozi daima ikifatwa na justifications.... Kikubwa hapa ni kuangalia principle... kua is it Ok mtu kukuvamia kwako because of bad conduct in the way unalea familia yako?? Na kama it is right... when is it Ok to cross the line kua sasa the person in question anahitaji adhabu ya matendo anayofanya?? (i.e in the case of Gaddaffi... why wait for 41 long years to make the move)... Kwa wale ambao tupo against NATO... Hatuko against eti sababu Gaddafi ni mzuri na hastahili yalo mkuta.... Personally niko against sababu Libya was one of the somehow peaciful country in Africa - hiyo vita imekua thrusted upon na lubricated by the US... Where as in reality hiyo vita ilitakiwa wao wananchi ndio wawe chanzo for change in the nation to result in positive results.... Nipo against sababu najua kabisa kua that is a way of US showing kua they can decide anything about any nation na hakuna mtu wa kuwapinga... Nipo against sababu at the end of the day karibu wanakuja taifa lingine... yaweza kua hata Tanzania, na wakaamua lolote maadam wana maslahi yao binafsi...

Tusubiri na tutaona hata atapoondoka Gaddafi itavokua shida for that nation ku settle peacifully for sasa it will be vita ya nani anafaa tena...
 
Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.
Ni kweli kabsa..
 
Financed africa's own sattelite
set aside more than 30 billion usd for africa monetary fund
helping the liberation of south africa financially.
Financing africa union(au).
Investing in our countries such as hotels etc
helping thwart france installed puppet regimes in africa.

Give credits where it is due!
 
Survivor tells of mass killing
Only known survivor of summary execution carried out by Gaddafi's troops says he had no links to the rebels.

Evan Hill in Libya Last Modified: 25 Aug 2011 14:08


201182622239327734_20.jpg
The dead men at Mitiga Hospital are hard evidence that the fall of Tripoli was not without its atrocities. [Evan Hill]
From inside a makeshift prison across the street from Muammar Gaddafi's compound, Osama Mansour el-Hadi listened to the beginning of the end.
It was Tuesday, and rebels had begun to overrun the sprawling 6km-square complex, known as the Bab al-Aziziya, where Gaddafi's palace and the homes of his innermost clique sat in a warren of offices and military bunkers.
Gunfire rang out, Hadi told Al Jazeera, and cries of "God is great!" echoed over the compound's walls.

For many Libyans, it was a joyous moment; the most symbolic assault yet on the reviled regime that had shackled the country for more than 40 years.
But for Hadi and 25 other civilian men, held by armed Gaddafi loyalists at a rundown apartment building now serving as an warzone detention center, a horrific massacre was about to begin.
As machine gun and artillery fire engulfed at the compound across the street, the captors marched Hadi and the other men into the street at gunpoint. They were lined up with the walls of the Bab al-Aziziya behind them as the sounds of the regime's downfall split the air.
Then Gaddafi's gunmen opened fire, spraying a barrage of bullets into their captives' heads, necks and chests.
Hadi collapsed into a pile of shuddering bodies, his shoulder, hand and right thigh shattered by bullets. Another prisoner escaped, Hadi said, and the murderers fled. As of Thursday, there had been no arrests or any known investigation into the grisly killing.
Hadi tells of detention

The bodies were found a day later and taken to Tripoli's Mitiga Hospital, a facility once-reserved for Gaddafi's military brass and high-ranking officials that now lies in rebel-controlled territory.
It was here, in a sparse and filthy hospital room, that Hadi told his story to Al Jazeera on Thursday. He was the only known survivor of the summary execution.
Elsewhere in the hospital, 15 of his fellow prisoners were laid out in the corner of the car park under a metal roof. Covered only partially by blood-stained, plastic sheets, some of the victims' ghastly wounds were exposed. The smell was gagging.
Some men had been identified. One man, Abdelsalem, came from the town of Taghma. Others were simply marked "non-Muslim" for burial purposes.

In the hospital room, Hadi's forehead creased with pain as he spoke. Someone had draped the tri-colour rebel flag behind his head and over his shoulders. His father, in a pristine-white jalabeya and skullcap, stood watching at his bedside.
Hadi originally comes from Badr, in the western Nafousa Mountains. Rebels there led the advance on Tripoli, but Hadi's town was sympathetic to Gaddafi. He and his father were not. During the final push on the capital, the two left for the capital.
Hadi was arrested on August 15, five days before the uprising began in the city. He said he had been staying at a house in the Janzour district when 15 armed men came, blindfolded him and took him away. He said he was innocent and claimed to not have been part of the opposition.

Others he met in the makeshift prison had been there longer, for more than two weeks. Most, he said, claimed they were civilians, picked up off the street while walking or riding bicycles.
The guards gave their captives little food to eat, cursed at them, and doused them with urine, Hadi said.
Talk of more mass killings

Outside Hadi's room, the packed intensive care unit testified to the ongoing clashes in Tripoli. Nearly 30 young men lay injured, awaiting treatment.

Youssef Hodiry, an orthopedic surgeon from the United Kingdom and had recently arrived from Misrata, said the hospital had few medical staff, most had run away or were too afraid to come to work.
By Thursday, Mitiga Hospital was running low on tetanus shots and immunoglobin syrums, doctors said. Representatives from the International Medical Corps had arrived to assess the situation. They photographed the bodies of the dead prisoners as well.
According to Mohammed Rashed, a general surgeon from the United Kingdom who had arrived in Tripoli from Misrata just days ago, the hospital had no forensic surgeons to examine the murdered men.

Nobody had conducted any autopsies, he said, adding that two of the bodies had already been taken away by relatives for a funeral.
Tripoli is these days flooded with rumours of other massacres. Locals speak of prison executions and rebel corpses found in shipping containers.
As the truth comes out, the dead men who were laid in a car park at Mitiga Hospital are hard evidence that the fall of Tripoli had not been free of war's atrocities.

 
Hivyo yeye Gadaffi binafsi katuambia wanawe kuwa wakitangaza tu habari hiyo basi tuwajibu ''We know he will not die.''
We know he will not die.
We know he will not die.
We know he will not die.
We know he will not die.
Allah akbar
Kumbe!
Jinsi zilivyo kuu utajiri na hekima na maarifa ya Mungu!
Umepokea ufunuo moja wa moja kutoka juu huyu ni mwanadamu asiyekufa? Kama Eliya? Bwana asifiwe na Allahu akbar kabisaaaa!
 
unafki mbaya sana..!si alikuwa anatoa misaada misikitini mbona allah hamsaidii muda huu anamwacha anakula kichapo ,nimeamini mungu wa gadafi aka allah ni mdhaifu sana !inamaana kazi ya kujenga mosque that gadafi did ,mungu wake aka allah kaona ni ujinga tu na hakumpa thawabu'!poor gadafi !i hate gadafi ,killed my grandpa at kagera war with that fool idi amini!

mwana we ni mdini .... Posts zako zinani bore sana tu!!!
 
Its an unfair end to the good man... Atleast ndio kiongozi aliyethubutu kuwaambia ukweli waarabu wenzie kuwa ni waoga na wanafiki..
Pia alitamani afrika iwe kitu kimoja na kuwa na sauti...
But the world does no longer need honest and free monded people...
Gadafi pole sana.

Uzuri wa mtu huwa reflected hata katika familia yake. Watoto wake walikuwa wanaishi kama peponi huku wengine wakipiliza na kuwafanya binadamu wenzao kuwa si wanadamu. Najua kwa mapenzi yako kwa gadafi utasema kuwa western media zinamfanyizia ila je na hiyo video utasema nini?. Anguko la Gaddafi ahueni kwa walio wengi japo wachache kama wewe na Hannibal mnasononeaka

Luxury, horror lurk in Gadhafi family compound - CNN.com

Tripoli, Libya (CNN) -- Moammar Gadhafi told his people he lived modestly during his nearly 42-year rule over Libya, often sleeping in a Bedouin tent.
Even if that was true for the leader, it certainly wasn't for his sons.
At a seaside compound in western Tripoli, the Gadhafi boys enjoyed a decadent lifestyle that his people could only dream about, while perpetrating unspeakable horrors on the staff that served their every whim.
CNN visited the seaside homes Sunday.
The first house we entered was apparently the "party" beach condo with an oversized door that led into sleek, modern, black-and-white rooms. It had been ransacked by the rebels, but still it was spectacular, with panoramic ocean views and plenty of evidence of the hedonism for which Hannibal Gadhafi -- one of Moammar Gadhafi's sons -- is famous
 
Wakati wabongo mnamlilia Gadaffi watu wake aliowatawala kwa miaka 42 wanashangilia kuondoka kwake.
Mseveni aliwambia wapinzani wake kuwa kwotapin inaingizwa kwenye baisikeri na nyundo na utolewa na nyundo.
''''''Mkuu jua kwamba habari tofauti tofauti tunazopata kuhusu Libya ni za kupumbaza umma'kama usemi huu unavyo unavyo toa angalizo'''ukitaka kumuua mbwa mpe kwanza jina baya,sasa NATO ndo wanachotumia,vilevile walitumia nguvu ya media kupumbaza fikra za watu kwa kutumia mbinu nyingi sana mfano walipo utangazia umma wamemkamata mtoto wa Gadaf,,,,Jamani ile ni njia ya uporaji na vinginevyo...''Namkubali Gadaf.
 
Back
Top Bottom