TLS, CHADEMA na wote wanaoipenda Nchi yetu, lipelekeni mahakamani suala la Bandari zetu

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
40,407
74,036
Kama inawezekana, lipeleke mahakamani hata kama mahakama zinaweza kuwa na kigugumizi kutoa haki kwa uhuni uliofanywa na magufuli a below (Public interest litigation)

Tanzania’s parliament has fast-tracked a legal amendment that threatens to severely restrict the capacity of independent rights groups to challenge laws, practices, or policies they believe violate fundamental human rights.

On June 10, Parliament amended the Basic Rights and Duties Enforcement Act to narrow the criteria for legal standing to challenge a law or policy that allegedly violates the constitution’s bill of rights.
 
Kama inawezekana, lipeleke mahakamani hata kama mahakama zinaweza kuwa na kigugumizi kutoa haki kwa uhuni uliofanywa na magufuli a below (Public interest litigation)

Tanzania’s parliament has fast-tracked a legal amendment that threatens to severely restrict the capacity of independent rights groups to challenge laws, practices, or policies they believe violate fundamental human rights. On June 10, Parliament amended the Basic Rights and Duties Enforcement Act to narrow the criteria for legal standing to challenge a law or policy that allegedly violates the constitution’s bill of rights.
Kwanini usilipeleke wewe?
 
Kwakuwa limeshaamuliwa na kupitishwa na BUNGE, Mahakama haitaweza kulitolea maamuzi tofauti Shauri hili kwani watakuwa wameingilia Uhuru au Maamuzi ya Mhimili Mwingine. Ni kupoteza Muda tu.
 
Yani chadema ipiganie mashoga ya ccm ambayo yakiambiwa kuandamana yanasema mbowe na lissu waandamane na watoto wao.
 
Kama inawezekana, lipeleke mahakamani hata kama mahakama zinaweza kuwa na kigugumizi kutoa haki kwa uhuni uliofanywa na magufuli a below (Public interest litigation)

Tanzania’s parliament has fast-tracked a legal amendment that threatens to severely restrict the capacity of independent rights groups to challenge laws, practices, or policies they believe violate fundamental human rights. On June 10, Parliament amended the Basic Rights and Duties Enforcement Act to narrow the criteria for legal standing to challenge a law or policy that allegedly violates the constitution’s bill of rights.
Naunga mkono hoja.
P
 
Kwakuwa limeshaamuliwa na kupitishwa na BUNGE, Mahakama haitaweza kulitolea maamuzi tofauti Shauri hili kwani watakuwa wameingilia Uhuru au Maamuzi ya Mhimili Mwingine. Ni kupoteza Muda tu.
Kama linakiuka misingi ya katiba, mahakama ina uwezo wa kubatilisha maamuzi ya Bunge, na kulitaka Bunge kufanya marekebisho.

Unakumbuka kuwa Bunge lilipitisha sheria kuwa hakuna wagomvea binafsi, halafu mahakama ikaliekeza Bunge kuwa libadilishe kipengere hicho kwa sababu kinakiuka misingi ya katiba? Bunge walikubali kurekebisha lakini hawakurekebisha. Mahakama ilitimiza wajibu, na bunge bandia halikutekeleza maagizo ya mahakama.
 
Kwakuwa limeshaamuliwa na kupitishwa na BUNGE, Mahakama haitaweza kulitolea maamuzi tofauti Shauri hili kwani watakuwa wameingilia Uhuru au Maamuzi ya Mhimili Mwingine. Ni kupoteza Muda tu.
Nawewe upo jamii forum hapa ,kweli ?
 
Back
Top Bottom