TISS (Usalama wa Taifa) mkiona inafaa, anzieni hapa

Acha kujitia upofu, Madrasa nyingi tu zinawapandikiza chuki vijana (watoto) wa kiislam dhidi ya ukristo na matokeo yake ndo hayo....vijana kadhaa kukamatwa huko kenya wakielekea somalia kujiunga na Alshabaab.
Nafatilia sana hata hizi redio na tv zenu, kutwa kucha kulalamika na kupandikiza chuki kanakwamba wakristo ndo waliowanyima elimu dunia! Rejea mafundisho ya jihadi na masuria 70 huko peponi.
Wewe pia ni mdini unacho fanya Ni kumshambulia mwenzako kwa udini acha udini dada
 
Kinachosumbua wengi ni kupungukiwa akili, yaani unakuta mtu kapungukiwa akili ila kwa sababu anakuwa hajaenda hospital basi mnadhani ana akili timamu. Kuna wagonjwa wengi sana wa akili na wanakuwa brain washed so bad. Hata baadhi ya watanzania wakristu many of them they are brain washed unakuta mpinzani wa kisiasa wa Tanzania bara huku kakaririshwa na Zitto eti kuna 1.5 trioni basi unakuta anasadiki na kuamini kabisa na kupinga serikali kumbe kalishwa uongo, same goes kwenye issue ya IMF unakuta mtu kakaririshwa/brain washed na wanasiasa anaamini eti Tanzania walikataa kabisa eti ripoti isichapishwe, so kuna punguani wengi sana dunia hii
 
Kaka Yule padre aliuwawa kutokana na kudhulumiana pesa.Shortly alikuwa anahusika na drug trafficking na ndio maana US government ilipoingilia kati ikaleta makachero wakagundua hilo yakaisha
Ila waliohusika walikamatwa ndugu, hivyo ujue hakuna jambo linalokwenda bila ufumbuzi
 
Kinachosumbua wengi ni kupungukiwa akili, yaani unakuta mtu kapungukiwa akili ila kwa sababu anakuwa hajaenda hospital basi mnadhani ana akili timamu. Kuna wagonjwa wengi sana wa akili na wanakuwa brain washed so bad. Hata baadhi ya watanzania wakristu many of them they are brain washed unakuta mpinzani wa kisiasa wa Tanzania bara huku kakaririshwa na Zitto eti kuna 1.5 trioni basi unakuta anasadiki na kuamini kabisa na kupinga serikali kumbe kalishwa uongo, same goes kwenye issue ya IMF unakuta mtu kakaririshwa/brain washed na wanasiasa anaamini eti Tanzania walikataa kabisa eti ripoti isichapishwe, so kuna punguani wengi sana dunia hii
 
Elekeza anagalau moja inayopandikiza. Chuki kwa wakristo
Acha kujitia upofu, Madrasa nyingi tu zinawapandikiza chuki vijana (watoto) wa kiislam dhidi ya ukristo na matokeo yake ndo hayo....vijana kadhaa kukamatwa huko kenya wakielekea somalia kujiunga na Alshabaab.
Nafatilia sana hata hizi redio na tv zenu, kutwa kucha kulalamika na kupandikiza chuki kanakwamba wakristo ndo waliowanyima elimu dunia! Rejea mafundisho ya jihadi na masuria 70 huko peponi.
 
Nikumbushe mkuu ,Libya eti sababu nn
Haya ndiyo maswala yakukemea sana na kufanyia kazi maana hata wenzetu wa hapo libya na nchi nyingine ambazo hazina amani na furaha zilianza na watu ka hawa,
Inapaswa elimu itolewe sana wa watu na hasa hawa madogo wanaochipukia maana ndo walio wa kwanza kupotezwa mie huwa naona uruma napoona watu wanapotezwa kisa itikadi ka hizi na wengine kupotelea maabusi ka wale wa awali ambao hawajui hatma za maisha yao.Ila walowashawishi wanakula na kushiba ila wao wamewapa viapo vya kihuni ili hata wakikamatwa wasije wacchoma viongozi wao.
 
hapo kazi ya kwanza itakuwa ni kutafuta ip address yake ili tujue ana-comment akiwa ndani ya mipaka ya tanzania au nje ya nchi.

kazi ya pili itakuwa ni kumuwekea vijana wetu mahiri(watch dogs) wa kufatilia mienendo yake na kusikiliza mawasiliano yake ili iwe rahisi kufanya analysis ya kijasusi.

tukibaini kuwa ni gaidi, kazi ya tatu itakuwa ni kumteka na kumuondoa kabisa uraiani ili asije akaleta madhara makubwa siku za usoni. na huo ndio utakuwa mwisho wake.
Namba zake za simu watazitoa wapi kama hajaziandika kule FB?
 
washika hatamu watende haki kuwanyima watu sababu ya kufanya vurugu..unambagua kwenye elimu na ajir,anakosa kazi,maisha magumu,wakija kumrecruit ataenda tu..then analeta balaa lisilo mfano
True,tatizo washika hatamu wako bize na ajenda binafsi.
 
Master minders die horribly
Screenshot_20190327-112010~2.jpeg
 
Back
Top Bottom