Mohamedy cadinaly
JF-Expert Member
- Apr 24, 2012
- 2,452
- 2,223
Nmesoma comments zako hata ww unaonekana ni mbaguzi wa dini mwenye imani ya ukristo safi huku ukijinasibu kuwa ni mpaganiAsante kwa taarifa mkuu lkn unafahamu kama kipindi naishi huko kuna makanisa yalikuwa yanalipuliwa kwa mabomu ya kutengeneza na mengine kuchomwa? Heko kwa raisi Amani na aliyepo sasa kwani walijitahidi sana kuimarisha ulinzi hasa siku za ibada