Tisini na tisa

Hahaha! nimeipenda hiyo blood blood=damu damu ni kama ile ya Belinda jacob job true true=kazi kweli kweli.
Sijakutupa sweety majukumu tu me love you sana tu.
Halafu tabia ya mkeo kuwa mchonganishi na majungu maker wala hata siipendi....
Naomba ukae nae umuonye maana ipo siku ntamfanya kitu hamna...ooh
 
@kaby nimependa unavyompa Erick vidonge vyake manake amezidi uzushi.

@ Erick husband kapumzika kidogo, anasema kama umeleta ile hela alokukopesha mpe kaby.
 
erick wee erick njoo hapa kelele nyiingi kumbe unadaiwa?
 
Halafu tabia ya mkeo kuwa mchonganishi na majungu maker wala hata siipendi....
Naomba ukae nae umuonye maana ipo siku ntamfanya kitu hamna...ooh
Ishia hapohapo labda unamuongelea mtu mwengine huyu Kaba hana tabia hizo unazosisema hapa,thubutu eti umfanye kitu ? dogo angalia tu usifanywe wewe kitu lol!
Kuhusu small hausi ukiwa na mtu kama Kaba huwezi waza mambo hayo maana she is the complete package,kama una mawazo ya small hausi ujue mahusiano yenu na mwenza wako yana mapungufu.
 
thats why i love you baby! You know how to defend your woman mwaah.
 
Back
Top Bottom