Kabakabana
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 5,551
- 1,159
- Thread starter
- #41
Kaby umeona hiyo
hehehe nimeiona dada,mwenzio napendwa eti!
Kaby umeona hiyo
please elaborate!
yatakushinda lol umeachwa weewe unadhani na wenzako?lol
666 na 999 ni machata ya ki freemanson
dubai kariakoo?haya msalimie pia nimemmis mbaya..
Weeee mimi niachwe??
Tumeshibanaje.....lol
Kasema asanteeee
kaniletea pilipili hoho?
Amy.......!!
Where are u bby....
Electronic hoho...
Hapana wii, namtafuta Erick anieleze kisa cha kutangaza mtaani eti mimi nimeachika! Ole wake nimkamate.unaenda wapi?kuitafuta hiyo sh.moja?
Braza ako hajambo mpendwa, ningekupa umsalimie sema kapumzika kidogo....My wi naona unapita kuanda msosi wa usiku msalimie braza
Hapana wii, namtafuta Erick anieleze kisa cha kutangaza mtaani eti mimi nimeachika! Ole wake nimkamate.
HeeeeeHapana wii, namtafuta Erick anieleze kisa cha kutangaza mtaani eti mimi nimeachika! Ole wake nimkamate.
Braza ako hajambo mpendwa, ningekupa umsalimie sema kapumzika kidogo....
Jpili ukitoka misa pitia home ntakupikia ndizi nyama!
Heeeee
Km hujaachika mlete mumeo....
Halafu nimeona km unamvizia Mtei na Bagah....oh
bora uje kwangu msaidiane na Amy...
ukimpata niambie mwenyewe kanikera kweli.
Dah na inaniuma aisee..mbona weewe umemuita amy kwa loudspeaker na hajaja?
Sasa na wewe unakereka kwani yanakuhusu???
Uchonganishi tu..