hawana lolote! watu wanataka burudani wao wanatangaza dini, nani atakaa muda woote kuangalia channels za dini tu. kwa upuuzi ule walio nao wapotee tu hata ving'amuzi vyao tumesha tupa jalalani.Kuwa mvumilivu mkuu. I trust the best you can do ni kupiga customer care na kuwahoji wakueleze vizuri. Otherwise usijeaibika wakirejea na huduma kabambe baada ya marekebisho. Waulize tu mkuu, and let us know.
hawana lolote! watu wanataka burudani wao wanatangaza dini, nani atakaa muda woote kuangalia channels za dini tu. kwa upuuzi ule walio nao wapotee tu hata ving'amuzi vyao tumesha tupa jalalani.
na mimi nawaonea huruma!!!ARV zenyewe zimechakachuliwa!!!duh.....poleni mlioathirika.....
service is back to normal wadau
Mara hii!! haya hongereni
kwa kweli wanastahili hongera.......roho zao zitakuwa zimetulia......
heeee jana tu nimelipia nikawasiliana nao wakasema watafungua mpaka leo hawajafungua hata huyo mtu hajajibuu khaaaa, hii sasa balaa