Timu 50 bora za Afrika, Yanga SC ndani

Turnkey

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
7,359
5,831
Mabingwa wa kihistoria Tanzania wametajwa katika orodha ya timu bora 50 kwa mwaka 2017. Yanga wameshika nafasi ya 43.

Viongozi wetu mnapoingia mikataba na makapuni msifananishwe na wale wengine ambao hata 200 bora hawasomeki. Ni hatua nzuri kwa Klabu yetu ila msimu ujao tupigane kwenda mbele.

Tukisema wakimataifa numbers don't lie

Source:www.globalfootballranks.com
 
yanga sio ya mchezo mchezo wala ya kufananishwa na wanaojiita Simba kumbe ni simbilisi......hahahahahahaha
 
Mabingwa wa kihistoria Tanzania wametajwa katika orodha ya timu bora 50 kwa mwaka 2017. Yanga wameshika nafasi ya 43.

Viongozi wetu mnapoingia mikataba na makapuni msifananishwe na wale wengine ambao hata 200 bora hawasomeki. Ni hatua nzuri kwa Klabu yetu ila msimu ujao tupigane kwenda mbele.

Tukisema wakimataifa numbers don't lie

Source:www.globalfootballranks.com
Sasa mbona hapa http://footballdatabase.com/clubs-ranking/young-africans-dar-es-salaam inaonyesha kuwa Yanga ni ya 339 kwenye orodha ya klabu za kiafrica??? Hii mtandao inachanganya.
 
2017
( X 5 )2016
( X 4 )2015
( X 3 )2014
( X 2 )2013
( X 1 )Totalclccclccclccclccclcc1Mazembe ( RD Congo )2021004165015306033502 Al-Ahly ( Egypt )-13015208026048505423Zamalek ( Egypt )-130154016026102202414 Etolie De Sahel ( Tunisia )030150280412012011385Mamelodi Sundowns ( South Africa )430155020000000000356 Al-Hilal ( Sudan )-13015000309204000287 USM Alger ( Algeria )030150004012000000278Esperance ( Tunisia )03015000013204303259 Widad ( Morocco )-3201030120000000002210 Zesco ( Zambia )8021030120000000002211 Fath Union Sport ( Morocco )802100280000000111912 Al-Merrikh ( Sudan )-220100003090000001913 CS Sfaxien ( Tunisia )30150000133060441814 ES Setif ( Algeria )-100000020650100111715Zanaco ( Zambia )1430150000000000001516Orlando Pirates ( South Africa )10000000390004041317 AS Vita Club ( RD Congo )-61050000004080001318Smouha ( Egypt )1602100001030000001319 Coton De Garoua ( Cameron )-71050000000243031220 Saint George ( Ethiopia )620100000000000111121 Club Africain ( Tunisia )2302100000000000001022 MC Alger ( Algeria )2402100000000000001023 Super Sport ( South Africa )7602100000000000001024 Caps United FC ( Zimbabwe )620100000000000001025Platinum Stars F.C. ( South Africa )12102100000000000001026 Al-Ahli SC - Tripoli ( Libya )-11105014000000000927Enyimba ( Nigeria )-7000208000000000828 Sewe Sport ( Cote Divoire )-7000000000036202829 AC Leopards ( Congo Brazzaville )-7000000013024101830MEDEAMA FC ( Ghana )-7000028000000000831 MO BEJAIA ( Algeria )-7000028000000000832Moghreb T ( Morocco )-7000000206000000633 C.R.D. Libolo ( Angola )6015000000000101634 ASEC Mimosas ( Cote Divoire )-7000104000012000635Ferroviario ( Mozambique )-21105000000000000536 Stad Malien ( Mali )-8000000013000022537Mbabane Swallows ( Swaziland )80015000000000000538Kampala City Council FC ( Uganda )89015000000000000539 CF Mounana ( Gabon )131015000000000000540Horoya AC ( Guinea Conakry )143015000000000000541 Hilal Obayed ( Sudan )214015000000000000542 Rivers United F.C ( Nigeria )240015000000000000543 Young Africans ( Tanzania )-12000014000000000444 KAC Marrakech ( Morocco )-12000014000000000445 MC El Eulma ( Algeria )-12000000103000000346Bizertin CAB ( Tunisia )-11000000000000022247 AL AHLI - BENGHAZI ( Libya )-11000000000102000248 Real Bamako ( Mali )-11000000000012000249 Nkana F.C. ( Zambia )
 
Simba wakiwa chini haina tatizo hata kama tungekuwa wa 1000 na Simba akawa 1001, nduhu tabhu!


Kwa judgement rahisi tu, vigezo ni performance kwenye mashindano ya CAF ya either 2016 and 2017 kwa timu zilizowakilisha nchi zao! so hutegemei timu ambayo haikuwakilisha nchi itaonekana! ndiyo maana hata KCCA imo.
 
Back
Top Bottom