Times of Israel: Edward Lowassa is a reformer, partriot and a successful businessman

Let me tell you, Im very well in-touch with realities within the Tanzanian political scene,thats why I have proof to dispute your claims and I am in Tanzania and not abroad. About hypocrisy, hypocrites are those who are eluding voters with fake promises of prosperity while falsely accusing and blaming the ruling party for people`s poverty while themselves made themselves rich and prosperous within the same conditions under that system.
Can you show Me evidence of CCM supporters and Cadres treating those who claim to be opposition supporters in the way you are trying to convince me to believe without been provoked? And how comes the party leadership or opposition coalition Outfit leadership is taking matters in its own hands while there are relevant authorities to deal with that? Don`t they know that they are sowing seeds for chaos, or they are doing it intentionally hoping to create instability? Self defense can`t be an excuse here because you already spoke of retaliation and the definitions of those two differ completely. Im not crying, I just want you to understand that, your political group lacks the credibility to be called a group that serves the interests of the majority.
If you are not aware, your leaders are just using you to reach their true objectives which are by far different from what they tell you in their speeches and thats why they are using all dubious means using all excuses to achieve their goal which they won`t anyway. So stop dreaming and start living, Lowassa isn`t getting into power.

First, it's CCM who like to lie their way into the power.They promised Wana Kigoma to turn their region into Tanzanian Dubai, did they fulfil their promise?
Second, I think you should stop relying on CCM propagandist media like TBC,Star TV and Uhuru newspaper, it's clouding your judgement. All the things you're accusing opposition parties to be involved with are in fact perpetrated by CCM supporters.
 
Hakuna lolote la msingi, alieandika hii article hajui lolote kuhusiana na Lowassa, CCM na kile kinachoendelea Tanzania. Au amechagua kwa makusudi kuacha hoja muhimu ili kumpaint Lowassa kwa namna alivyokusudia. Eti lowassa ni eloquent speaker? Huu si utani huu? Eti Lowassa ni maverick leader? Kwa lipi? Kumbe alishajipanga kulinda maslahi ya wageni? Sasa wajiandae kulia maana hatumchagui.

"Hatuta" wewe na nani au na nyoka wenzio!! lazima mchinjwe tu!!
 
Inyeshe mvua, liwake jua, hata lango liwe wazi bila mlinda mlango Lowassa haingii ikulu ya Tanzania kamwe. Haitokaa itokee, tunamfahamu Lowassa, huyu na wenzake kadhaa ambao wengine bado yupo nao hata sasa ndiyo mihimili mikuu ya ufisadi nchini, tunamfahamu kwa jinsi alivyohumiza uchumi wa nchi hii akiwa na dhamana ya ubunge jimboni kwake, na akiwa Waziri mkuu na Waziri wa wizara mbalimbali za serikali. Lakini aliyembaya zaidi kuliko Lowassa kwenye hii saga ni Mbowe na wahuni wenzake wote waliobinya demokrasia ndani ya chama hivyo kutuharibia mfumo mbadala tuliokuwa tunataka uingizwe mwaka huu kukamata dola,huyu ndiye mbaya zaidi.
 
First, it's CCM who like to lie their way into the power.They promised Wana Kigoma to turn their region into Tanzanian Dubai, did they fulfil their promise?
Second, I think you should stop relying on CCM propagandist media like TBC,Star TV and Uhuru newspaper, it's clouding your judgement. All the things you're accusing opposition parties to be involved with are in fact perpetrated by CCM supporters.

How does CCM cheat its way to power? I always ask for proof to support that claim but I always end up disapointed because no one has given me any. Maybe I am lucky today to get it from you. So can you do that?
I dont rely on government.media for information, I read all newspapers, Watch all TV channels I can access and I have many friends from the opposition who keep me updated on different issues concerning their camp. So you are mistaken my friend.
How could you say that violence is perpetrated by CCM when we know that if there was something like that, it would have been reported to relevant authorities ? But now,its CCM who are complaining instead of you.
 
I seriously doubt whether you truly gather your information from the variety of media outlets because your views tell the opposite. Your political views are very skewed in every sense of it.
 
Hakuna lolote la msingi, alieandika hii article hajui lolote kuhusiana na Lowassa, CCM na kile kinachoendelea Tanzania. Au amechagua kwa makusudi kuacha hoja muhimu ili kumpaint Lowassa kwa namna alivyokusudia. Eti lowassa ni eloquent speaker? Huu si utani huu? Eti Lowassa ni maverick leader? Kwa lipi? Kumbe alishajipanga kulinda maslahi ya wageni? Sasa wajiandae kulia maana hatumchagui.

"HATUMCHAGUI" wewe na nani????
 
I seriously doubt whether you truly gather your information from the variety of media outlets because your views tell the opposite. Your political views are very skewed in every sense of it.

You have not answered any of my questions. Not supporting your views is neither proof that I dont use the media outlets available nor do I have a twisted political view, because if difference of opinion was a factor that determines that, I would`ve said the same for you. Now tell Me, can you provide Me any proof or its just hearsay as usual?
 
Nimeshangaa mpaka basi. Hivi hawa watu wanajaribu kutuchagulia tunachopaswa kuamini? Wanajaribu kutuaminisha kuwa Lowassa hatumjui. Nilichoka eti ni Eloquent speaker.

Akizungumza na wanahabari hotelini hapo mbunge peter msigwa alisema vifaa vilivyoharibiwa na police hotelini hapo ni million 22.42 huku wakipora mali la wanachama wao ambacho thamani yake ni 6.8 milion
Msigwa alisema uvamizi huo wa police ulileta hasara ya mmiliki kushindwa kukodisha vyumba 7 vilivyopo nnje ya ngome tangu wavamie hoteli hiyo hadi vyumba hivyo vitengenezwe garama ambayo ni 1.02 million garama ambayo itaingezeka kutoka muda wa matengenezo

Msigwa alisema kua uvamizi huo wa police ulienda sambamba na police kuvunja milango ya vyumba 19 hotelini hapo. Viti. Vioo. Chupa. Na vitanda huku wakiwadhalilisha wanawake kijinsia kwa kuwashika sehemu zao za siri. Makalio na matiti.

Pia msigwa anasema police hao walijaribu kumbaka mwanamke mmoja ambapo jaribio hilo lilizimwa na mmoja wa walinzi wa chama hicho katika chumba namba 105 hotelini hapo

My take
Hii ni shutuma nzito sana kwa
Jeshi la police mkoani iringa
Kama aliyoyasema msigwa waliyatenda kwa maagizo ya ccm

Source Tanzania daima
 
You have not answered any of my questions. Not supporting your views is neither proof that I dont use the media outlets available nor do I have a twisted political view, because if difference of opinion was a factor that determines that, I would`ve said the same for you. Now tell Me, can you provide Me any proof or its just hearsay as usual?

That's why I say you're lying on CCM propagandist media too much,if not then you shouldn't ask for any evidence from me because everything was out there for everyone to see. Do you remember last year local government elections? Do you remember what CCM supporters did to Dr Slaa ex wife in Iringa?And this year's election, do you know that CHADEMA's follower lost his life in the hands of CCM followers in Mara region?Which evidence do you want from me now?
 
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa akishuka katika gari la polisi baada ya kufikishwa mahakamani wakati wa vurugu za machingaji eneo la mashine tatu mjini Iringa mwaka jana(picha na maktaba ya matukiodaima) ............................................................................................................................................................
Na MatukiodaimaBlog
JESHI la polisi kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) mkoani Iringa watumia mabomu ya machozi kuwakamata wafuasi zaidi ya 60 wa chama cha Demokrasia na maendeleo (chadema ) akiwemo mgombea ubunge wao jimbo la Iringa mjini mchungaji Peter Msigwa matatani kwa kumpiga mawe mkuu wa kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) Iringa na wananchi waliokuwa wakitoka katika mkutano wa mgombea Urais wa chama cha mapinduzi (CCM) Dr John Magufuli.

Baada ya polisi kufatua mabamo mawili ya machozi kwa ajili ya kusambaratisha wafuasi hao baadhi yao walikimbia huku mgombea ubunge huyo Mchungaji Msigwa akienda kujisalimisha mwenyewe polisi baada ya kutakiwa kufanya hivyo kabla ya kukamatwa na polisi.

Imeelezwa kuwa wafuasi hao ambao wengi wao ni vijana walikuwa wamekutana katika eneo la kambi ya kampeni ya Chadema iliyopo eneo la Hoteli ya Sambala jirani na kambi ya kikosi cha kutuliza ghasia (FFU) kwa ajili ya kikao cha ndani toka majira ya mchana na jioni ndipo walipofanya vurugu hizo wakati wananchi wakitoka katika mkutano wa kampeni za mgombea huyo wa Urais wa CCM.

Kamanda wa polisi wa mkoa wa Iringa Rmadhan Mungi aliwaeleza jana waandishi wa habari kuwa tukio hilo lilitokea jana majira ya saa 12;30 jioni baada ya wafuasi hao kufunga barabara kuu ya Iringa –Dodoma na kufanya vurugu hizo kwa kuwarushia mawe wananchi waliokuwa wakitoka katika mkutano wa kampeni za Dr Magufuli uwanja wa Samora.

Alisema kuwa wakati jeshi la polisi likiwa katika mkutano wa mgombea huyo wa Urais wa CCM walipokea taarifa kuwa kuna vijana wa boda boda zaidi ya 150 walikuwa wakijikusanya kuelekea katika eneo hilo la Sambala Lodge na baada ya kufuatilia ndipo walibaini kuwa wanakwenda katika kikao chao cha ndani na kwa kawaida jeshi la polisi halikatazi watu kufanya vikao vyao vya ndani .

"Jeshi la polisi halizuii wanachama wa chama chochote cha siasa kufanya vikao vya ndani kwani ni haki yao ya kisheria na kikatiba …..lakini baada ya kikao chao kumalizika vijana hao walitoka nje ya ukumbi huo uliopo kando kando ya barabara na kuanza kufunga barabara na kucheza muziki katikakati ya barabara na kuzuia watumiaji wengine wa barabara kushindwa kupita ……baada ya vurugu hizo nilimuagiza mkuu wa FFU kwenda kuwatoa watu hao barabara ila walipuuza na kuishia kumpiga mawe na baadae kukimbilia kujifungia katika Lodge hiyo ya Sambala eneo ambalo wamefanya kama makao makuu ya Kampeni za Chadema " alisema kamanda Mungi
Alisema wakati wa vurugu hizo baadhi ya vijana waliumia kwa kuruka ukuta na wengine kwa kuanguka wakati wa kujaribu kukwepa kukamatwa na kuwa wale wote waliokamatwa watafikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa na kuwa miongoni mwao yumo mgombea ubunge jimbo hilo Mchungaji Msigwa .

Mbali ya mchangaji Msigwa wengine waliokamatwa kwa tuhuma za vurugu hizo ni pamoja na mgombea udiwani kata ya Gangilonga ambae pia ni mkuu wa kambi hiyo Dady Igogo

Kamanda Mungi alisema watuhumiwa wote watafikishwa mahakamani wakati wowote kuanzia sasa mara baada ya upelelezi kumamilika alisema kuwa mchungaji Msigwa hakuwepo katika eneo la tukio wakati vurugu hizo zikitokea ila ameingizwa katika orodha ya watuhumiwa kwa wakosaji wakuu wapo makundi manne likiwemo moja la yule anaendenda kosa kwa mikono yake ,kundi la pili muwezeshaji au mshauri na kundi la nne kutoa hamasa kwa wakosaji hivyo alisema mgombea huyo anashikiliwa kwa kutuma za kutoa hamasa kwa watuhumiwa hao kufanya vurugu.

Wakati huo huo jeshi hilo la polisi limepiga marufuku vyama vyote vya siasa kuwahamasisha wafuasi ama wanachama wake kufanya vurugu za wakati huu wa kampeni na kuwa kamwe jeshi hilo halitamvumilia kiongozi ama mtu yeyote atakayejihusisha na uvunjifu wa amani.

"Amani ni kitu cha kwanza na yeyote anayetishia kuvuruga amani ya Iringa anatishia kazi za polisi Iringa kamwe hatavumiliwa zaidi ya kuchukuliwa hatua kali na kuwataka vijana kuepuka kutumiwa na wanasiasa kufanya vurugu "

Kuhusu mwenendo wa kampeni toka zianze alisema kuwa hadi sasa tupo nusu ya kampeni hizo toka zianze na kuwa toka tarehe 22 hadi 30 mwezi wa nane hakukuwa na kosa lolote lililoripotiwa kutokea kuhusiana na kampeni ila tarehe 1 hadi 5 mwezi wa tisa kulikuwa na makosa 9 yaliyoripotiwa kituoni na tarehe 5- 19 kulikuwa na makosa 17 yaliyoripotiwa na makosa 15 yalitokea jimbo la Iringa mjini na makosa mawili wilaya ya Mufindi huku katika wilaya ya Kilolo hakuna kosa hata moja

Hivyo amewataka wagombea na wafuasi wao kufuata maelekezo yaliyomo katika kitabu cha maadili ya uchaguzi kilichotolewa na tume ya Taifa ya uchaguzi .

Kwa upande wake mgombea ubunge wa jimbo la Iringa mjini mchungaji Msigwa katika ukurasa wake wa fecaboook alithibitisha kukukamatwa kwa vijana hao na kiongozi wa kambi hiyo Bw Igogo wakiwa katika ngome hiyo ya kampeni.

Sasa huu hapa unataka kuniambia ni ushahidi wa nini? Kuonewa kwa Ukawa, Wizi wa kura wa CCM au kitu gani?
 
That's why I say you're lying on CCM propagandist media too much,if not then you shouldn't ask for any evidence from me because everything was out there for everyone to see. Do you remember last year local government elections? Do you remember what CCM supporters did to Dr Slaa ex wife in Iringa?And this year's election, do you know that CHADEMA's follower lost his life in the hands of CCM followers in Mara region?Which evidence do you want from me now?
Did CCM followers initiate the act or they were provoked in all instances? I told you that, provide Me with evidence which proves that CCM followers initiated violent actions which resulted to all of that.
 
Ccm walishaiuza nchi kwa wachina na waarabu loliondo acha kujitoa ufahamu

Inaelekea Hujui Maana ya Kuuzwa Kwa Nchi. Ngoja utakapoona kila kitu kuanzia Maji, Visiwa, Mashamba, Umeme, Ndege, Gesi, Mafuta, n.k. vyote wameuziwa hao wanaomnadi kwenye magazeti ya ughaibuni ndio utajua maana ya kuuzwa kwa nchi.
 
Did CCM followers initiate the act or they were provoked in all instances? I told you that, provide Me with evidence which proves that CCM followers initiated violent actions which resulted to all of that.

That's the problem with you, you wanted facts I gave you but still you asking for more,because you want me to give facts that wrapped around your world.
 
Inaelekea Hujui Maana ya Kuuzwa Kwa Nchi. Ngoja utakapoona kila kitu kuanzia Maji, Visiwa, Mashamba, Umeme, Ndege, Gesi, Mafuta, n.k. vyote wameuziwa hao wanaomnadi kwenye magazeti ya ughaibuni ndio utajua maana ya kuuzwa kwa nchi.

Acha uwongo wewe, Lowassa ni rais wetu ajaye.....mtaongea mpaka mtokwe na povu.
 
That's the problem with you, you wanted facts I gave you but still you asking for more,because you want me to give facts that wrapped around your world.

Where did I say all of that? I merely asked you to specify what that story you posted was intended to express. Now Im asking again, what exactly is it intended to prove? Because the story is clear, now explain that.
 
Back
Top Bottom