Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,204
- 33,228
Sema humchagui wewe. Unaposema hatumchagui una maana wewe pamoja na mimi! Mimi lazima nitampigia kura!
mpigie magufuli bana,lowasa ni shida pale,mtarudi kulalama humu jf wiki ya pili tu iwapo lowasa ndo atakamata madaraka,hafai