Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 14,303
- 22,789
Huu ni Wimbo mzuri sanarola ya rikado banks haichuji,ipigwe mida flan mibovu utatamani pasikuche
Japo sio club banger mkuu
Ninaupenda sana
Huu ni Wimbo mzuri sanarola ya rikado banks haichuji,ipigwe mida flan mibovu utatamani pasikuche
Murder she wrote ni chaka demus....nyngi sana wapo wale jamaa TOK wanayo ya kutosha
yupo shaggy na church herthean
kuna busy signal na madude kibao
kuna moja inaitwa murder she wrote sijui ya nani
kuna mwamba been man na dude lake back it up