Time will tell

Kabakabana

JF-Expert Member
Aug 5, 2011
5,551
1,160
Baada ya kufunguka kwa mambo mengi nimetamani na mimi niweke input yangu juu ya baadhi ya viongozi kuhusu uozo wao na mambo yao wanayofanya ambayo bado ni siri kubwa.
But time will tell, bigger things are coming just wait a little longer guys.
 
Kweli kabisa Kabakabana mambo hayo ni ya kawaida kabisa kwa wanadamu wa siku hizi. Ila kwa ushauri wangu please don't disclose their names na
 
Last edited by a moderator:
Ngoja nimpigie kongosho maana ndie mshauri wangu mkubwa akikubali namwaga mboga leo hii
 
Unafunguka kisiasa ama kichitchat? Manake vita ya wale jamaa noma, inabidi ujidhatiti hata panya na mende wasisalie
 
Kweli kabisa Kabakabana mambo hayo ni ya kawaida kabisa kwa wanadamu wa siku hizi. Ila kwa ushauri wangu please don't disclose their names na

Haaa, asiweke majina tena!??? aweke tena na picha mnato kabisa tena coloured
 
Last edited by a moderator:
Unafunguka kisiasa ama kichitchat? Manake vita ya wale jamaa noma, inabidi ujidhatiti hata panya na mende wasisalie

hahaha wifi umenchekesha sana dah maneno kuntu hayo. Nafunguka kivingine kabisa.Ngoja nikanywe supu nipate nguvu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom