Till you love yourself... Inawezekana?

Kuna nyimbo moja nilikuwa nasikiliza
i guess ya NEYO....nikakutana na mstari mmoja unasema..

'i am gonna love you till you love yourself'...

Nikawa najiuliza maswali kibao.....

je tabia za watu kwenye mahusiano inawezekana moja ya sababu
ni 'they don't love themselves that much?

na je hii solution ya 'i am gonna love till you love yourself'
inasaidia?

how true is this?

inawezekana?

unaweza apply hii kwa mtu anae kuudhi na kukukwaza? how?

mnaonaje?

Nilivyoelewa mimi ni kwamba atakupenda mpaka ujipende mwenyewe. Upendo atakaokupa na kukuonyesha wewe utampenda SANA yeye na kwasababu mtakuwa kitu kimoja then utakuwa unajipenda mwenyewe.
 
Back
Top Bottom